@taimediatz: #HABARI Mwanaisha Saidi Juma (70), mkazi wa Kitongoji cha Madibira, Kata ya Magugu, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga usiku wa kuamkia Oktoba 16, 2026, huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika. Tukio hilo limetokea wakati familia yake ikiwa katika maandalizi ya mwisho ya harusi ya mtoto wake wa mwisho wa kiume, anayetarajiwa kufunga ndoa kesho, Oktoba 17, 2026. Akizungumzia tukio hilo, mtoto wa marehemu, Sadik Musa, amesema hakukuwa na changamoto yoyote katika maandalizi ya harusi hiyo ambayo angeweza kuhusisha na msongo wa mawazo kwa mama yake. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Madibira, Omary Rajab, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio na kufanya uchunguzi wa mwili wa marehemu, ambao umebaini kuwa kifo hicho kilitokana na kukosa hewa ya kupumua kufuatia kujinyonga. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Friday 16 October 2026 16:44:36 GMT
Music
Download
Comments
nado emmy :
ama mwane anaolewa na bwana ake😳
2026-10-16 18:20:06
17
tatupetro :
[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying] Polen sn
2026-10-16 19:10:38
0
PENDO KIMARO :
maguguu sweat home
2026-10-16 18:30:41
1
Veronica Gowele :
mungu mlaze mahala pema uyu mama uenda ampend bibi harus
2026-10-16 18:05:17
4
Fatuma :
simuailishe hiyo harusi
2026-10-16 19:27:12
1
user16168869093375 :
poleni sn Mungu ampumzishe pema peponi.
2026-10-16 18:08:57
3
Shanel💫 :
tuongee na watu jaman. tusijiue kila kitu bado kina solution kwenye hii dunia
2026-10-16 19:28:52
2
user7057190581619 :
mmh jmn cjawai ona kabisa eety mama ake mzazi kafa alafu azike kesho haruc iendelee mh hapana! tn n mama mzazi na uwezi pata mama mwingine doh! ameshindwa kughaili angalau upite mwezi mmoja kweli jmn ata arobaini doh doh apana
2026-10-16 19:35:21
0
angel🧚♀️ :
heeeee ndoa inaendelea kweli dunia hzina huruma uwiii
2026-10-16 18:58:55
0
alibaba_zanzibar :
pole san Kaka na kwa ujumlaa muung ampe wepes tyuu dual njem
2026-10-16 19:20:46
1
Mary Eliasi :
apo kuna mambo aya ✌️
2026-10-16 19:59:37
0
Emmy :
kama Mimi b halus naailisha kuolewa kwakweli
2026-10-16 18:55:24
1
sinyorita💋 :
wamama wanapitia mengi niulizeni mimi 🥹
2026-10-16 19:50:39
0
Norah Emmanuel :
pole sanaaa
2026-10-16 20:21:09
0
Helena Makole :
polen San mungu awatie nguv
2026-10-16 18:10:40
2
Angel mwandike :
mmmh
2026-10-16 18:11:38
2
Stella Emanuel :
pole sana
2026-10-16 18:18:30
1
piccasoshoots :
Iyo harusi kuna kitu
2026-10-16 20:01:54
0
user6246787337614 :
pole sana sana
2026-10-16 19:18:44
0
BINTI SAIDI :
innalillah wainnaillah rajiun
2026-10-16 19:20:07
0
TEN x 💣⚔️ :
💔
2026-10-16 20:01:01
0
Rosemary John :
😭😭jamani
2026-10-16 20:03:42
0
chia heena :
hatar Allah amsameh
2026-10-16 19:25:30
0
Emily :
pole sana
2026-10-16 19:23:38
0
Hailat💦 :
2026-10-16 16:51:18
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.