@mwalimusuedi: SHUKRANI SANA @@beka 01452 DADA FAIDHA ANASHUKURU BADO ANAITAJI APATE UNIFORM ANASEMA NIWAAMBIE NYIE WATU WA TIKTOK AYA ,MWENYE KUTAKA KUMVALISHA DADA WA KAZI YA NYUMBANI NAOMBA ANICHEK PLZ tumpe tabasamu #creactorsearchinsight #goviralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #fyppppppppppppppppppppppp
kaka weka namba yako kaka nimempenda mtoto nimtumie maokoto
2026-10-17 08:29:52
3
Faidha :
wajina anapenda helaa
2026-10-16 18:44:46
5
Mariam Hassan :
Mwalimu naomba namba yako tafazari
2026-10-17 08:36:58
1
nurayyah dangote :
fai yupo wapi uyo jamani
2026-10-17 03:33:09
1
Robkidayo :
baah🤣
2026-10-16 19:29:13
1
mwajuma566 :
unapata nshahala
2026-10-16 19:16:50
1
mrs d :
jamani mi napenda anavyo ongea.
2026-10-16 19:43:32
2
asamelo fernitules :
ticher sket ya shule shingap
2026-10-16 18:58:55
1
kabwelikene cute :
ananyota bhana nipe namba apate shati shingapi🥰
2026-10-17 04:05:46
1
Mama girls ❤️ :
Nitumie namba nimtumie faidha wangu hela
2026-10-16 18:45:38
1
*King_muhunzi* :
Mimi ninawazo la tofauti kidogo kunawatoto wengi vijijini wanaishi maishafrani hivi ambayo wanahitaji msaada hatuwezi kufanya kila kitu lkn mnaonaje tungepambania vifaa vyashule tu mwalimu angeunda group la whatspp kwa atakaependa kama haunamoyo wakutoa asijiunge wale tuliokua tayari tujiunge wenyemioyo yakutoa kuna watu hatwendi kanisani wala msikiti maana yake hatutoi sadaka popote hebu tufanyenihii kama sadaka tutoe msaada kwawote hata kwa hawamu mbili au 3 vinunuliwe vitambaa kwa jumla viatu tutajua tunafanyaje ni wazo tu kama itawapendeza umoja ninguvu kidogo wakitoa wengi sio sawa na mmoja
2026-10-17 15:15:23
2
To see more videos from user @mwalimusuedi, please go to the Tikwm
homepage.