@tarxhy: Anaitwa Elon Reeve Musk ndo jina lake halisi alilo pewa na wazazi. Ni msomi wa Bachelor of Arts in physics na Bachelor of Science in Economics. Hata hivyo aliwahi kujiunga chuo kikuu Cha Stanford Ili kuchukua PhD lakini hakumaliza akaona aingie kwenye Biashara ya teknolojia. Tuachane na hiyo, Kwa Sasa Elon musk ana utajiri wa Quadrillion 2.49, Kwa lugha rahisi Elon musk alisha vuka utajiri wa milionea, Bilionea, akavuka Trilionea, ndo Yuko kwenye Quadrillionea. Ebu fikiria yani Tunapo sema utajiri wake ni Quadrillion 2.49 hapo ni kwamba ana utajiri wa Quadrillion 2 na Trillion 490. Je Elon Musk anaweza kugawia watu wote pesa zake tuliopo Duniani? Kwanza inabidi ujue, Kwa Sasa Dunia Ina watu Bilioni 8 na milioni 30 (8.3) Ukigawa utajiri wa Elon musk ambao ni Quadrillion 2.49 Kwa watu Bilioni 8.3 jibu utapata kwamba Kila mtu Duniani atapata shilingi laki tatu za kitanzania (300,000). Yes ndo huyu huyu Elon musk aliye Zindua gari lenye uwezo wa kupaa Roadster 2 ambalo lime tengenezwa na kampuni yake ya Tesla ambalo lina tarajiwa kuingia sokoni mwaka 2028 na lita uzwa si chini ya Bilioni 7 Kwa pesa ya kitanzania. Yani wakati Mimi na wewe hata umilionea ni ndoto ila mwenzetu yupo kwenye Quadrillionea Kwa kifupi ni kwamba staa wetu Diamond hakuna namna yoyote anayo weza kufanya akafikia hata theluthi au hata nusu theluthi ya utajiri wa Elon musk mpaka anakufa. NB: nimemtolea mfano Diamond Kwa sababu alisema ipo siku atakuja kuwa Tajiri namba Moja Duniani.
SN❄️
Region: TZ
Friday 16 October 2026 16:54:20 GMT
Music
Download
Comments
ᴅᴜᴍɪʟᴀ ᴍᴀʙᴇɢᴀɴɪ :
alafu usikute mapenz Yana mtesa nae
2026-10-17 05:18:25
108
KAYA :
mimi nikiamua kugawa utajiri wangu kila mtu atapata ukichaa mwaka mzima
2026-10-16 19:27:43
118
CEE KID😜 :
sas s aamue
2026-11-22 19:57:35
0
it's craxh✓ :
diamond platinumz utajiri wake kila mtu dar es salaam anapata 800
2026-10-17 09:25:15
31
MAESTRO ✝️ :
Afanye iv basi maana daah
2026-10-16 18:22:41
26
NR 7🫣,,, :
ndo mana hajagawaa kuna wengine wangesema aongezee😅
2026-10-17 06:32:17
9
𝕁𝔼𝕐 𝕄𝔸𝔻𝕀ℕ💎 :
Hapo kuna mambo haya✌️
2026-10-17 19:35:47
1
Mussasimbayu151 :
Harafu yeye atabaki na sh. Ngap?? Nayeye laki3 au
2026-10-16 18:50:47
6
Mbembati fashion ✨️ :
msimkasirishe basi ili tupate izo pesa😂😂
2026-10-17 07:45:24
8
Son of Arsenal :
Unajua idadi ya watu wote walioko duniani 😂
2026-10-22 09:26:48
0
𝐦𝐲𝐫𝐢𝐜🧢 :
haya nipendi laki tatu na mim nifike alipo elon
2026-10-17 10:06:12
1
🌳🌴 amani🍡🎮🙌 :
sa si agawe mi Kodi imeisha
2026-10-17 06:47:03
1
M'CHARO Music 🎵🎶 Daily :
mmmmmmmm
2026-10-16 21:39:09
0
Mau mau 😜🤘 :
Utajiru wangu mtaani kwetu tunakufa maskini
2026-10-17 10:16:18
2
💫💥💤silent king💦💫 :
kwanza izo ela anazo zigawa anipe mimi
2026-10-17 09:25:26
2
Hashim verat :
pia mm 😳 huku
2026-10-17 08:13:28
0
𝔻𝕀ℝ. 𝕂𝔸𝕁𝕆 :
DUNIA ni kubwa hawezi kufanya hivo
2026-10-17 16:13:58
2
GINIMBI :
hay bhn
2026-10-16 21:13:43
1
Hija mabalaa :
mimi nikiamua kugawa umasikini wangu kila mtu anakufa kwa shida
2026-10-17 21:23:43
6
YOHANA ABINELY :
2026-11-19 23:10:10
1
Sc,KIBANDE ✅️✍️ :
ASIGAWE KWANZA IFIKE HATA LAKI TANO TANO ILI EX WANGU NIMPE HIYO 30 YAKE
2026-10-17 10:40:54
3
Shadrack 🇦🇷⚽ :
apambane kidogo ifike ata milioni 5 kwa kila uyo mtu mmoja nifungue ata kabiashala
2026-10-17 10:05:57
1
StarJ💫💫 :
asa anasubili nin si atugawiee jmn
2026-10-17 06:25:07
1
Jasson Yusuph :
pesa Haileti Furaha
inaleta happiness ya moyo
2026-10-16 18:20:20
2
Its me :
Me nkigawa kila mmoja atakuwa unaNionea🥺
2026-10-16 18:37:09
2
To see more videos from user @tarxhy, please go to the Tikwm
homepage.