si nilikuambia nisikuone tena kwenye simu yangu lakini
2026-10-16 18:48:42
81
sabrat jafar :
ili chiz
2026-10-17 08:13:12
0
🎀Treasure🎀✨ :
Duka lipo wapi nisipite
2026-10-16 17:48:41
73
Lucky summer🥰 :
😂 Aina hii ya vijana ...😂
2026-10-16 18:51:55
14
neema Raphael :
yaani hii suruali ni safina tosha😂😂sasa safina tayari tunayo na tunatamba nayo, saivi tunachokisubiri ni el-nino tu ndo inatuchelewesha,,,,yenyewe ije ili tujae kwenye hii safina 😂😂😂
2026-10-16 21:11:17
12
Rose electronics :
Watu wa Tanzania nzima tunaweza kuishi humo mpaka mifugo yetu🤣😂🤣😂🤣
2026-10-17 05:22:41
19
minaah ❤️ :
kujeni 10/10
2026-10-16 18:28:17
6
Caisedo✨ 4✋ :
kak vp ombi langu la kuniblock🤔🤔
2026-10-16 19:34:15
10
Gibson Mahela :
hivi selikari inatuchuliaje wananchi wake
2026-10-16 17:58:31
10
asi music tz :
anachekesha kama sio ndugu yako
2026-10-16 18:16:31
24
𝗯𝗹𝗮𝘆 𝗧𝘇⛎ :
simjui mama ako ilanamuombea maisha malefu 🙏🫶
2026-10-16 18:38:40
21
mary :
huyu jamaaa anachekesha kama sio ndugu yako
2026-10-16 20:04:16
7
Mr.Friday 656 :
Hapo kuna mambo hayo✌
2026-10-16 18:58:54
29
MALOLO jr MIHOSHO🦂🐒🐒 :
ngoja tukusapoti ufike mbali hafu usilud ok
2026-10-16 18:17:20
9
jimmy log6 :
hivi unanidaa ww
2026-10-16 17:49:31
30
To see more videos from user @deewaynetz, please go to the Tikwm
homepage.