@david.kiwool: Huyu ni rafiki yangu ambaye amenisaidia sana kiroho. Hakukata tamaa juu yangu, aliendelea kunitia moyo kwenda kanisani na kuniombea ili niweze kusimama imara katika wokovu wangu. Kupitia maisha yake, nimejifunza kwamba rafiki wa kweli si yule anayekufurahia tu unapofanikiwa, bali pia ni yule anayekushika mkono unapokuwa dhaifu kiroho na kukusaidia kurudi kwa Mungu. Biblia inasema katika Mhubiri 4:9–10: “Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja… Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake.” #WinningSouls #fyp #NyerereDay #fyp #ChristEmbassyTanzania

David kiwool PODCAST
David kiwool PODCAST
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 17:42:01 GMT
1330
89
8
0

Music

Download

Comments

nyabohanse
Sejo :
karibu mtumishi kenya
2026-10-16 18:43:09
0
anu24247
anu :
yesu. Kwa. Wana. Wana. haliwezekani. pinga. mandiko
2026-10-16 19:02:40
0
ahmed.abdul.aziz32
Ahmed Abdul aziz :
munadanganyana hapo
2026-10-17 02:44:01
0
blessedrachel_
Ms__Rachel :
🔥🔥🔥
2026-10-17 08:58:05
1
yaredi28
Yaredi mtokambali28 :
🔥🔥🔥
2026-10-16 20:48:02
0
blessedvero68
blessed-v :
🙏🙏🔥
2026-10-16 19:29:46
0
david.kiwool
David kiwool PODCAST :
@Gbmwealth
2026-10-17 07:47:56
1
To see more videos from user @david.kiwool, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About