@islamic_rihla: Mtume ﷺ alizingatia sana swala hata alipokuwa katika maradhi makali. Hili linatukumbusha umuhimu wa swala katika maisha yetu. Tusiache swala kwa sababu ya uvivu au usingizi; na tunapokuwa wagonjwa, tuswali kulingana na uwezo wetu. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH ABDULKHALIQ ISSA 🔸 Follow Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yatakayokuimarisha katika imani na kukukumbusha kumtii Allah kila siku. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Swala #UmuhimuWaSwala #Mawaidha 🟠 FOLLOW US