@madininews: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, ameiagiza Wizara ya Ujenzi kutafuta ufumbuzi wa haraka ili kuhakikisha barabara ya miundombinu inayotekelezwa inapitika kwa urahisi. Agizo hili limetolewa kufuatia kutoridhishwa kwake na kasi ndogo ya mkandarasi anayejenga barabara ya upanuzi wa njia nne mkoani Mbeya (kutoka Nsalaga hadi Songwe), hali inayowasababishia usumbufu mkubwa wananchi, wakiwemo wafanyabiashara na watembea kwa miguu kutokana na vumbi na kufungwa kwa njia za mitaani.

MADINI TV
MADINI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 18:28:53 GMT
116258
5685
152
112

Music

Download

Comments

user3147267411574
Dada G :
tumefikiwa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 12:39:12
0
user6111358719881huncho
huncho stuch ndauka :
atawatuu amna
2026-10-17 11:13:12
0
josekalinga1
josekalinga528 :
we need leader like Ibrahim Traore form Bukinafaso we see what is going to Bukinafaso
2026-10-17 07:29:46
0
mwambete13
ametsu13 :
billion 40 duu
2026-10-17 10:10:07
2
user4107610819756
[email protected] :
chadema semeni nahapa niwanafunzi au watutimamu
2026-10-16 22:49:06
6
georgemchujah
georgejonas#mr tinga# :
Huyu jamaa! kama kama asipoingia kwenye mifumo!, atatufaa sana ndugu zangu wa Tanzania!!.. nimawazo tu!!..
2026-10-17 08:06:47
20
skillsd
davis Dante :
hiyo barabara toka 2020 na mbuge hapo alikuwa speker wa bunge! uongo tu
2026-10-16 21:10:25
26
abelly.mtega
Abelly Mtega :
siasa bhn wanaongea kwa uchungu akin hatua haichukuliwi mpka wafanye uchunguz mambo ya ajabu sana
2026-10-16 21:37:26
17
ally.sappy
Ally Sappy :
Mkuu apo umesema ok Urais ni wako akitoka mama yetu
2026-10-17 15:49:23
3
faustinesimon523
Faustine s lukuba :
nimekuelewa sana mh makamo wa raisi
2026-10-17 02:22:49
15
mwakathegreat1
Mwaka The Great :
Serikali ya ccm Inatuhumu Serikali ya ccm Kushindwa Kutekeleza Mradi wa Barabara! hii Ndio Tanganyika!
2026-10-17 08:24:37
8
angelcosmeticsmbey
Angel cosmetics mbeya :
ukionfoka tu wataacha hawa jana walikuwa bizz kweli leo yooooo
2026-10-17 13:34:42
4
user2993510260071
user2993510260071 :
dogo piga KAZI MH RAIS ANAKUAMINI SANA.
2026-10-17 15:51:19
1
lovedior7
itsdiorlove😍 :
wanatuandalia kijana mwaka 2030 😅
2026-10-17 14:02:02
2
edi53386
Edi :
ccm watamuharibu kwani sisi ccm hatutaki kuambiwa ukweli hili ni tatizo kwetu
2026-10-17 15:43:58
1
musty3029
Musty@$ :
napata matumaini ya Barbara sasa
2026-10-17 02:56:16
6
shilla.haonga
Shilla Haonga :
Watu wanashangilia nn hiyo ndo CCM inayajua matatixo ndo mitaji yao
2026-10-17 04:07:40
8
flola.mwilongo
flola mwilongo :
njia mbayaa kuanziaa igawa kwenda mbeyaa,
2026-10-17 06:07:35
6
user2548887274659
[email protected] :
uyu ndo achukue nchi inamfaa
2026-10-17 01:51:05
7
user5630528424268
user5630528424268 :
hii kitu ndo watu wanaichukua serikali jamani
2026-10-17 07:47:50
1
bkshakerz
Blessdady 🤕 :
mbeya wanazingua viongoz
2026-10-17 12:06:55
1
jengwaz1
michael jengwaz :
iwe ivyo basi
2026-10-17 04:56:28
1
grandfather_furniture
Bagriezz :
mbeya tuanataka viongoz kama hawa✌️
2026-10-16 21:41:33
2
mwanyingilisilver
Sylvester :
yah yupo vizuri sana ajitahidi tu kusimamia haki
2026-10-17 10:02:51
2
amanjoseph776
NETANYAHU. :
CEMENT BADO BOSS HAWAJASHUSHA BEI
2026-10-17 03:56:22
4
To see more videos from user @madininews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About