@amina.omary83: Ya Allah Mwingi wa Rehema, tunakuomba umfanyie wepesi na umpe shifaa Shammy naamini katika uwezo wako na rehema zakom. Amina. Nanyi ndugu zangu naomba mumkumbuke kwenye dua. 🤲🏽❤️

AMINA THE BUS DRIVER 🚍
AMINA THE BUS DRIVER 🚍
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 18:31:46 GMT
34820
3366
144
90

Music

Download

Comments

mwashumu.nassoro
Mwashumu Nassoro :
nampenda huyu mtt kwa ajili ya allah imeniuma sana allah ampe shufaaa
2026-10-17 03:17:49
4
billionairebizguy
Billionaire :
Yupo Hospital Gani jamoni..!? Nakukubali sana Shammy jamani Allah amfanyie wepesi na amjaalie Shifa .!
2026-10-17 02:09:37
2
dorr6787
mtega daughter ❤️ :
upone shammy haraka kipenzi
2026-10-16 21:41:07
2
bobani.fundi
bobani fundi :
Masha Allah [Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-17 10:13:08
1
omari5874
Omari :
mbona haionekani kamaanae desha kweli
2026-10-17 16:06:08
1
abdulsamad.suleim
Abdulsamad Suleiman :
maashallah nimeinjoi sana
2026-10-18 06:10:46
0
shamsa.juma04
Shamsa Juma :
mwenyezi mungu akutangulie daah shammy upone haraka♥️♥️
2026-10-17 06:56:43
0
hamisingosha8
hamisingosha8 :
mashaallah 👌👌
2026-10-16 20:23:47
0
hancedirector
Hance Director :
mungu akuweke
2026-10-20 09:47:42
0
user3488101801579
Abdul waissa :
mungu amponye dada yetu🤲🤲
2026-10-17 03:40:48
0
fatmammassy805
Fatma Mmassy :
YAAA ALLAH MJAALIE APONE YAARAB AMIIIN
2026-10-16 21:57:53
0
khamisimanywele
manyweele aluminium and glass :
amin
2026-10-19 09:01:04
0
user40861683600175
Ramadan gerson :
mashaal naon up na kitulizo Cha nafsi
2026-10-19 10:54:19
0
husseinkanju
husseinkanju :
mwenyezi mungu muumba wa mbingu na ardhi uliesimamisha mbingu bila nguzo yoyote na ikasimama tunakuomba waja wako umponye dada yetu mwana familia mwenzetu aliepata mtihani wa afya kama ulivyo mponya mtume wako Ayub As na kumuondoshea maradhi yake kabisa
2026-10-17 04:36:41
2
bruzal
bruzal :
Amiin Yaarab
2026-10-16 22:35:39
1
mwashumu.nassoro
Mwashumu Nassoro :
watupe namb zake tumchangie hilo ni wazo langu tuu
2026-10-17 03:19:50
0
mwashumu.nassoro
Mwashumu Nassoro :
kasambaa kawatu kako vizuri mashallah
2026-10-17 03:18:45
0
user7351331638408
mr zodiacer :
mashaallah
2026-10-19 07:50:47
0
muhammadhinzano2
Muhammad Hinzano Almudarrisy :
Ma shaAllah
2026-10-20 11:08:34
0
shadee5421
shadee :
Allah akufanyie wepesi upone haraka
2026-10-18 16:25:33
0
kheriali4
kheriali4 :
@amin maashaalwaa
2026-10-20 09:31:10
0
user1090576793663
nurdin isaya :
mashaallah
2026-10-20 11:02:23
0
hancedirector
Hance Director :
love u sanaaaaaaa kipenz changu
2026-10-20 09:47:28
0
athumanisaidi0
@Ung'akaOG679 :
amen
2026-10-18 21:40:32
0
ilha3006
Eng_Mo'h :
naomba niwe mkanda
2026-10-16 20:41:33
0
To see more videos from user @amina.omary83, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About