@supermentz: 🏠🔥 DALALI WA UHAKIKA TEMEKE 🔥🏠 ✨ MASTER ROOM + JIKO – AZIZI ALLY 💰 Kodi: 170,000/= kwa mwezi 📆 Malipo: Miezi 4 tu 🚶♂️ Umbali kutoka kwenye nyumba hadi barabarani ni dakika 5–10 kwa miguu. 😍 Unatafuta master yenye jiko? Hii hapa! Wahi kuwahi kabla haijachukuliwa. 📍 LOCATION: AZIZI ALLY 📲 Piga simu: 0623249615 ⚠️NB: Malipo ya udalali ni sawa na kodi ya mwezi mmoja. Gharama za kuoneshwa bila kulipia ni 20,000/= TU. 📞 USIPOJIBIWA MESSAGE PIGA SIMU!! 🔥 WAHI CHAPU — KAZI NZURI AZIKAI! #DalaliWaUhakikaTemeke #AziziAlly #MasterRoom #ChumbaNaJiko #VyumbaVyaKupanga