@islamicswahilinet: “HATA WALE WALIO KARIBU NA WEWE WAKO KARIBU NA WEWE KWA MASLAHI YAKO” Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Friday 16 October 2026 18:54:02 GMT
Music
Download
Comments
nady momo :
mashallaah
2026-10-17 01:57:01
1
Msagala📢 :
allah aqbar🤲
2026-10-16 19:52:29
1
🤎🧸ayush001🧸🤎 :
Allah Akbar
2026-10-17 01:12:10
1
hbc :
mashallah
2026-10-16 21:17:23
2
Bwakx :
Allahu Akbar
2026-10-16 20:53:59
2
user3861915366550 :
subhanaallah
2026-10-17 03:21:05
0
injia omary Funny :
Allah akabqry tuombeane duwa
2026-10-16 19:54:32
1
Mrs Swalina :
😢😢😢Allah akbaru
2026-10-16 20:07:21
1
user94435338567517 :
mkn
2026-10-16 23:06:47
0
MJAPAN MATELEPHONE208 :
Allah Akbar
2026-10-16 23:10:04
1
Amida Ally :
Allah Akbar
2026-10-16 22:05:59
3
MT. bin ismaël :
Ma shallah
2026-10-16 20:35:29
2
BASHIR KAKA :
[Pray][Pray][Pray]
2026-10-16 22:25:34
3
pirasham mo :
[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-17 00:35:42
1
@سُدّي أَدِينَان :
🔥🔥🔥
2026-10-16 20:27:51
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.