@flypetal7: congratulation#fyp#sendoff#

🦋flypetal🦋
🦋flypetal🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 19:04:53 GMT
207348
15263
667
399

Music

Download

Comments

17isak22
daffyson :
nyimbo za IA
2026-10-18 08:26:03
0
agapekivuyo95
agapekivuyo :
tulio angalia Zaid ya mara mbili tujuane
2026-10-17 08:31:44
232
bethbk66
bethbk66 :
tukiangalia kwa upole amecheza vizuri
2026-10-17 09:37:18
118
bahati.msuri
Bahati Msuri :
hongera sana🥰
2026-10-16 23:18:42
0
user5400722013280
Cathy 🦋 :
hongera
2026-10-17 12:35:18
1
upcomingboss4
faraja muuza vifaa vya ujenzi :
Mimi ni huyo mwingine sina vibe wala nini nawaza hela ya mchezo😂
2026-10-17 09:28:23
71
momyvini2
? :
singida bilashaka🥰
2026-10-17 10:12:19
19
momov375
Momove💞 :
Kila nikiangalia nahsi km ni wa mkoa wangu hawa😂
2026-10-17 02:18:56
57
usekitoto
zuhura sp :
naomba siku naolewa niwe na ii fulaah uwiiiiiiii[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming] nimependa
2026-10-17 08:07:09
1
user1031498052117
user1031498052117 :
mbn kachangamka sana kama mahusiano yangu
2026-10-17 00:17:03
28
www.tiktok.comimi02
I'm 🤔 :
bila husda Kwa macho ya upolee binti ame cheza vyema🌹
2026-10-17 18:06:39
34
umk102
Mr. Tee🐅 :
Kuna bibi hapo anamungalia moyoni anasema ngoja mwezi ni mkubwa
2026-10-17 05:42:34
25
user38100799862967
Maria falinyove :
umeimba kwa hisia sana dads
2026-10-17 06:49:42
14
samibaby5
Samybaby :
Mim ni huyo wa nyuma
2026-10-16 22:44:28
11
bakitakihongosi
bakitakihongosi :
Mimi ni huyo Bibi mwenye kofia😂😂😂
2026-10-17 07:21:15
10
merydanieli991
mery danieli :
hongera
2026-10-16 22:06:18
1
neema6804
nyongela :
binti ana confidence ya kutosha barikiwa mama ujumbe umefika♥️
2026-10-17 15:57:56
11
helenajohn262
madame Hellen😘 :
hii ndio raha ya kucheza wimbo unaoujua🥰🥰
2026-10-17 13:57:16
8
user3881636125629
silvia :
Ujumbe umefika kwa wasiopend maendleo ya wenzao
2026-10-17 04:03:22
5
user5432848130013
msindo :
jina la wimbo please
2026-10-17 08:18:50
6
agnesjoram3
Agnes Joram cute :
Hawa Nikiwaangalia Vizuri Ni Wamkoani Kwao Na Mme Wangu Kabisa.😂😂
2026-10-17 14:06:48
5
mistiola.og
Mistiola Og :
Jmn hongera japo ndo Mara ya kwanza kukuona ❤️
2026-10-16 22:06:30
11
cutelee135
🌸cutelee🌹 :
😂😂😂 sema nin mtu ukijua umependeza unajiamini
2026-10-18 07:28:44
1
fatumamakocho
fatumamakocho :
umependeza kwakwel kpnz changu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-17 20:07:47
1
To see more videos from user @flypetal7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About