kwani mm niko Mlolongo ngani hii mambo yote unasemanga sionangi
2026-10-17 06:14:00
25
Nazzer addiz :
mm nishai patana nao nje ya diplomat back 2021 kama nimetoka Peter mulleis niliwaopea everything adi key sijawai heal up to date
2026-10-17 00:53:03
12
N.D.U.N.G.E❤️🦋 :
Denno nilikuona kwa plot yetu hapa shanes hebu nifanyie connection ya job please man
2026-10-17 07:31:30
1
p-tah qish :
aunty yangu aliambiwa apeana simu na handbag akangawanye Io pesa. part 2 Iko youtube😂😂😂
2026-10-16 21:49:27
7
Apple Moses 🍎 :
hii kitu nimepata ukirecord usiku
2026-10-16 20:18:17
2
MEJER GREGOH HYBRID :
mimi washai nijaribu 3 times,, nafanyaga kuejoy yu wakinidaganya🤣🤣
Impala Street,, cooperative na Bishara Street 😅
2026-10-16 20:41:27
7
🦋United Bea♥️⚽ :
that why sisalimiangi watu mm heri mtu anitusi
2026-10-16 21:15:58
7
CHEF LEAH (C.L) :
niliwaona Eastleigh karibu niibiwe eti jamaa anaangusha Doo mwingine akaokota na akanishow ninyamaze. kumbe wako pamoja. mchezo ya tao naijua. mi naye siwezi salimia mtu na mkono hata kukuongelesha kama sikujui never.
2026-10-18 09:25:40
2
Lucchese Akum :
password ya mpesa got me offguard
2026-10-28 14:28:04
0
🎀ary🪄 :
Waliibia babangu 2019
2026-10-17 05:42:16
2
cranez_$$$rim :
Ni Kitengela bwana
2026-10-31 15:49:43
1
@chichi :
niulizeni 😂😂
2026-10-16 21:06:26
1
Jacinta Ndungwa :
mi nishaifanyiwa hivo last year pale phase 3 niliwapea simu mpaka pin
2026-10-17 05:54:58
2
Rorkey katimu :
thanks for information
2026-10-16 20:20:24
1
dotty :
nkikusalimia😂
2026-10-16 20:24:39
2
👅mumbe💘 :
beste yangu alioshwa 45k na simu
2026-10-16 19:22:32
2
Danito mziza :
manze pia Athiriver wamefika .watu wakae rada usikuwe unasalimia kila mtu kwa njia
2026-10-16 19:09:38
1
💝BECKY🇰🇪💞😍😘 :
waaaah😒😒😒
2026-10-16 20:37:03
0
single😍😍😍❤❤girl 🤩🤩🤩😘 :
bro nlifanyiwa hivo hapa kitengela aki
2026-11-05 11:00:03
0
🦋snaider🦋 :
my boyfriend Amekoniwa elfu Saba kwa simu on Tuesday hapo phase 2
2026-10-23 08:14:41
0
🥰prina🌴 :
ata mm nlifanyiwa hivo nkabebwa simu mbili na bag
2026-11-02 09:55:43
0
Stanley. :
well they did try me but failed.
Guys be careful ☺️☺️
2026-10-31 20:17:26
0
Faith B :
mbona sijaskia naniko mlolongo
2026-11-07 05:29:16
0
fionangangi957 :
nilishaifanyiwa hivi Nairobi weee
2026-11-02 21:29:35
0
Ble🥰💗 :
pia Mimi imewai nifanyikia nikapeana Kila kitu
2026-10-16 20:49:57
0
To see more videos from user @sir.dennis.backup, please go to the Tikwm
homepage.