uyu sheikh mungu ampe afya njema ana akili sana hii nidhahabu
2026-10-16 20:13:31
6
hamqaati :
mkoloni mbona bado tuko nae Catholic
2026-10-17 07:17:39
2
ibn hassani :
kumbe ilikuwa isevya
2026-10-17 04:21:18
1
MBWANA RAJAB :
Hakuna ubaguzi mkubwa dhidi ya waislm kama kipindi cha nyerere
Tulisona Moshi technical na hadi maholi ya chakula yalifanywa makanisa na waislamu walinyanyaswa sana
Baadhi ya waislamu waliritadi na kuwa wakiristo ili walimu wawapende
2026-10-16 21:15:21
5
@mecky :
upendeleo maalum kvp yan waislamu wakipata 0 wawe wamefaulu na asiyekuwa muislam akipata 10 awe amefeli??
2026-10-17 07:41:18
1
To see more videos from user @mizani_online_tv, please go to the Tikwm
homepage.