@naupenda.uislam: #creatorsearchinsights #motiviationquotes Takfiri haipo kwa masalaf

NAUPENDA UISLAM
NAUPENDA UISLAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 19:19:05 GMT
5188
375
39
31

Music

Download

Comments

kazi.na.dawa.67
Tupo Site :
MashaAllah Akhi ameeleza kwa fasaha. BAARAKALLAHU FIIK
2026-10-17 01:15:47
6
mohamedtyson313
Moحd Tysوn :
kwa nini tumskize abdulwahab alieshirikiana na British kuangusha Ottoman Empire ….
2026-10-17 04:58:27
1
sulaym424
Sulaymابو سهيل :
Sahihi Ustadh, tatizo watu wamemezeshwa sumu kitambo mpaka leo Sheikh Muhammad Ibn Abdul Wahhaab anaonekana tofauti ila si kweli tusomeni jamani tuache ushabiki wa kinyumbu
2026-10-17 04:42:03
1
almuslim884
AL-MUSLIM :
barakallah
2026-10-17 12:22:59
0
binawadhalnabahany
binawadhalnabahany :
watu wamesoma baba
2026-10-17 11:30:44
0
ismailignas17
Ismail Ignas :
Allah akubaarik Shkh
2026-10-17 12:58:09
0
user2668547380020
user2668547380020 :
1.Shekh Muhammad bin Abdulwahab ameandika vitabu vingi vya takfir na kupitia vitabu vyake watawala wasaud walikitumia kuuwa waislamu wengi sana Hijaz. 2.Yeye na wafuasi wake pamoja na utawala wa Saud walijitoa katika dola ta kiislamu ya Othnaniyya hivyo wanakua Khawarij moja kwa moja bila khofu yeyote.
2026-10-17 02:30:35
0
shabih_albeidh
عبدالله شبيه البيض :
أنظر جيدا فى كتبكم مشحونا بالتكفير ولم يكتف وجاهد المسلمين وقتلهم كن منصفا انت اولا
2026-10-17 02:45:22
0
abuuzahraai1
Mr Yasin Ramadhan :
mawahabi ni kawaida yao kukufurisha waislamu wote ambao hawakubaliani na fikra. zao Tunayaona kutoka Saudi Iraq syria etc mashekh wao huku kwetu tunawasikia kwa mimbar wakikufurisha
2026-10-16 21:42:56
2
user4481711826149
ابوا احمد :
hii ndy DAAWA SALAFIA ilio salimika na talbis za kishaitwani والحمدالله على نعمة السلفية
2026-10-17 06:35:17
0
may.allah.forgive17
ABDISALAM SOMAL🇸🇩🫶🇸🇴🕌🕌 :
🤲🤲🤲
2026-10-16 22:20:55
0
mohamedtyson313
Moحd Tysوn :
[Snicker]
2026-10-17 06:42:49
0
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About