@iringa.nyumbani: #creatorsearchinsights #createsightinsight Watoto wa Kabila la Kihehe waimba wimbo wa asili kwa lugha yao ya Kihehe, kisha wanaufafanua kwa Kiswahili ili kila mmoja aweze kuelewa ujumbe wake. ❤️👏 Ni njia nzuri ya kukuza lugha yetu, kuhifadhi utamaduni wetu na kuurithisha kwa kizazi kijacho. Lugha yetu ni utambulisho wetu, tuitunze na tuipe nafasi kupitia maudhui ya kidijitali. Karibu utazame, ujifunze na kufurahia utamaduni wa Wahehe! ❤️🇹🇿 #viral #LughaYaKihehe #tanzaniantiktok🇹🇿
IRINGA NYUMBANI
Region: TZ
Friday 16 October 2026 19:26:44 GMT
Music
Download
Comments
Goalpoucher :
🙏🙏 utamaduni upo kwenye mikono salama
2026-10-17 07:27:29
3
@neth benson :
Duuuuuh jaman napenda na mm nijue kuongea kiruga ngoja nije vinifundishe ata kidg mana vinahatariiii😂😂
2026-10-17 08:13:34
2
Getruda Lemi :
mi ndouyoo ninaeimbishaaa dah lahaa sanhaaaa🥰🫶
2026-10-17 07:35:22
1
dembefamily :
salute Naga bongo
2026-10-16 21:08:21
2
Juliana Njamasi :
Wawooooooo
2026-10-16 22:04:40
0
Minister Lukosi D :
nadhani Kuna kitu kinataka kutokea kwa kabila letu ,hongera sana
2026-10-17 00:42:15
1
0749881099 :
sana madog
2026-10-17 06:56:38
0
Stella William :
nashukuru kuwa mhehe jama najiskia raha sana
2026-10-17 09:06:58
0
Esther😊 :
waoooooooooooooh jaman nguvenda vanakwetu
2026-10-17 07:36:18
0
olida salome :
kihehe raah
2026-10-17 07:05:16
0
Jane nyambulapi :
inguluvi yivatange manavangu
2026-10-17 08:14:01
0
Khan Prince 🤴 jay :
nawapenda xana jaman wamaxkqni
2026-10-16 20:49:56
0
ludymilla🥰 :
ila groly nakupendaa bure
2026-10-17 06:36:24
0
it's emmy💦💦 :
🥰🥰najivunia kuw mheh🥰🥰
2026-10-17 03:50:39
0
Hazina John Mmehwa :
nawapenda sana
2026-10-16 20:57:34
0
miss lee :
nunza vana vangu
2026-10-17 07:42:38
0
glad geee💯 :
nawapenda jamn najivunia kuwa mhehe
2026-10-16 20:20:40
0
user95483172118 :
mishale vanakwe2
2026-10-16 23:17:49
0
happy Angelo :
wooooooooooh nguv wenda na nene ndip misit pakae ngoj miluk zuse kuduva🥰🥰
2026-10-16 21:29:00
0
lizzylove :
Nakuja mnisubili jamn tuje yuimbe wote
2026-10-17 05:50:13
0
Christina Luhamo :
najivunia kuwa mhehe jamani
2026-10-17 11:14:33
0
lidya :
❤️❤️❤️❤️
2026-10-17 10:56:26
0
Miss sarah :
nawpenda sna
2026-10-17 10:55:31
0
chiqueen :
Jama mukwi noma hatari
2026-10-17 10:41:55
0
Mryam Mryam :
wawooooo🥰🥰🥰
2026-10-16 21:08:26
0
To see more videos from user @iringa.nyumbani, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.