wakuu tuache kupangiana degree is not for weaker mtuache tuenjoe tu
2026-10-17 06:26:45
123
NMT :
ni degree hii hiii au
2026-10-17 05:04:51
70
fetyochu02 :
Nyie mliofika mliohitimu, ukipata nafasi ya kufurahia siku yako ya graduation hakikisha ufurah mpaka watu watii, Maana sio kila mtu ana uwezo wa kufika hapo, achanen na maneno ya watu wapuuzi.
2026-10-17 06:47:57
353
Larecksovin🦋🤍 :
if degree is just a piece of paper 📜🗞️,go and pick yours 😉 congratulations 🎉 in advance 🙂
2026-10-17 13:18:21
3
fighter😎😎 :
ila jamani tukumbuke degree sio chupi
2026-10-17 11:09:11
16
Irene🩷 :
ko anafanyiwa sherehe au mi ndio sierew😂
2026-10-17 05:38:43
39
Rhaenyra Targaryen_07 :
A happy kid a Happy Family it is♥️
2026-10-17 04:27:36
81
Calu :
watu mnaoshangaa hamjui kwamba degree ni achievement kubwa kuliko hata ndoa? Acheni watu wafurahie matunda ya kazi zao kusoma miaka takribani ishirini mchezo
2026-10-17 07:58:26
32
mshalethe :
hongera sana🥰🥰
2026-10-17 03:53:13
1
Dj prazy 67 :
bado , kuna ka hatua ka mtaani kenyewe hakuna kuhitimu 😅😅😅
2026-10-17 07:15:01
8
claudia :
kumbe kuna wanaume upenda sherehe uku kwangu hakuna kabisa. 🥰
2026-10-17 04:54:38
12
Evelyne Tewe :
Eehh Mwennyez Mungu Naomba unipe afya njema nije kuona hii furaha kwa wanangu 🙏
2026-10-17 09:09:12
7
KIMSON JUNIOR :
ivi anayejua anisaidie na mim ,Kwa mfano umemaliza chuo na umefauli vizuri lakin hutaki kufanya mahafari wala kuhuzulia mahafari hayo ,kunachangamoto yeyote inaweza kutokea kutokana na kwamba hukufanya mahafari ya chuo
2026-10-17 05:53:59
10
DRASH :
Congrats bro
2026-10-17 03:47:46
1
lucky me😘 :
Honestly kufurahi ni lazima, but sio Kila mtu atakuwa part ya furaha yangu maana watu wanacheka hadharani ila mioyo Yao 😔🤐
2026-10-17 07:43:28
7
veeinbloom1 :
Congratulations broooo🥰
2026-10-17 03:47:38
6
Grybell :
congrats
2026-10-16 21:37:28
3
mercy tz :
God did
2026-10-16 21:49:17
1
De prince⚡ :
Furahi bhana suala la maisha itajulikan baadae👊
2026-10-17 06:11:48
6
samwel_official :
mbezi garden
2026-10-17 03:54:02
5
✨️🎀cute-Laura 🎀 ✨️ :
jamani munanitamanisha na mi uku na bdo mwaka moja1🥺
2026-10-17 16:02:54
1
marry :
hongera sana karibu uraiyani🥰🥰🥰
2026-10-17 05:53:55
5
From your contact :
Bora hizi pesa wangempa afungue duka
2026-10-17 09:17:21
3
pink r :
2026-10-17 06:13:47
1
being_sarrie 💙 :
eeeeh safiii kabsa
2026-10-17 07:35:46
4
To see more videos from user @juex18, please go to the Tikwm
homepage.