@jvckieseven: mwaka 2011 sumalee aliachia huu wimbo wake safi kabisa uliofanya vizuri sssana sokoni mpaka kuchukua tuzo ya wimbo bora wa mwaka wa Kilimanjaro music awards 2012. Unaambiwa kwa wakati huo SUMALEE alikua tayari ameshaanza kuutenga muziki na kuanza kuwa karibu na MUNGU zaidi, ila msanii tundaman ndo alimlazimisha SUMALEE aurekodi huu wimbo mara baada ya kumkuta SUMALEE akiuimba kama utani na kujifurahisha ndipo tundaman akamfosi na kumwambia hii ni hit song kama utairekodi, Basi SUMALEE kwa shingo upande akaenda kurekodi, hivyo hivyo kwenye suala la kushoot video jamaa alikataa ndipo washkaji zake wa kariakoo (CORNERS/TINTED) wakafosi wakajichanga video ikatolewa kwa lazima ndomaana hapo SUMALEE haonekani sana kwa sababu siku wanayoshoot video SUMALEE alikua yupo TANGA kwenye shughuli za kidini na dua, ila aliporudi usiku akakuta jamaa wanamalizia kushoot video hivyo wakamlazimilisha tena arekodi video, mwisho wa siku Wimbo ukaja kubeba tuzo ya KTMA wimbo bora wa mwaka 🔥🔥🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 20:08:44 GMT
62092
2798
76
66

Music

Download

Comments

magramkhan1
Khan magram :
hii ngoma hata ipigwe leo ni bado kali 😂au nakosea wazee wenzang
2026-10-17 07:00:12
96
itschimamu
itschimamu :
Still a banger 😂
2026-10-17 12:36:31
0
heisenberg_furry
Heisenberg jr :
tulioangalia adi mwisho.. 😅
2026-10-17 01:56:15
27
litham.thaliy4
Liytham :
nipo form 2 apo😁😁
2026-10-17 10:00:48
9
kilokani
jumaCR :
mwaka uo nilikuwa naukubali "nilipe nisepe"💥💥💥🙌🙌
2026-10-17 05:52:31
10
mwajuma00110
mwajuma 001 :
hiv hii nyimbo inaitwaj jamon🤔
2026-10-17 03:54:50
6
omarybomani
OB :
HUYO vixen sijui yupo wapi
2026-10-17 11:51:25
2
millah_cooks
JUA ACCESSORIES :
Weeeeehhhh
2026-10-17 09:25:46
1
user5599434673269
mbogoya🔥 :
tuna zeeka 🙌🙌🙌
2026-10-16 20:14:51
12
nyarawan
MAMA ELLAH :
𝐤𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐝𝐚𝐧𝐜𝐢𝐧𝐠 𝐬𝐭𝐲𝐥𝐞 𝐲𝐚 "𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐧𝐢 𝐞𝐧𝐣𝐨𝐲" 𝐲𝐚 𝐝𝐢𝐚𝐦𝐨𝐧𝐝 𝐧𝐚 𝐣𝐮𝐦𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐳𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢.
2026-10-17 03:56:26
5
abbastwalb
￴￴￴ ￴￴ ￴￴￴ ￴￴￴ ￴￴111 :
namuona nicole berry 😂
2026-10-16 23:44:55
1
nicksonnyoike
nicksonnyoike :
Wakati wetu ,,na mzazi will M Tuva[Tears of joy],af Redio tunatembea nayo mtaani
2026-10-16 21:51:31
3
junior.johnson48
Junior Johnson :
🔥🔥🔥🔥 hii ngoma mpaka leo bado ina hit 🙌🙌
2026-10-17 07:03:46
7
glaryn4
Scarlet :
hii dance niliicheza mpaka basi
2026-10-17 08:44:37
2
shopryjames
jason :
nilimtongoz dem na hii nyimbo nikiwa shule na ikaeleweka
2026-10-17 10:23:50
2
21cartoonhd
21cartoonhd :
Tuliruka nayo sana ile x mas na mwaka mpya😂😂
2026-10-16 22:19:07
5
farie6666
farahan adam :
alikataa hakutunga yeye au
2026-10-17 08:06:12
2
your.fav.man85
YOUR FAV MAN :
Twende hapo
2026-10-17 06:08:51
3
njelutza
Officialnjelu :
noma
2026-10-17 05:52:51
2
sweetjuju09
Juju😘 :
Tuna pendana na na
2026-10-17 08:26:57
2
.cayzzer
cayzzer :
Alikataa kurekodi vipi si ndiyo hapo amerekdi Au unamaanisha Vipi 😳😳
2026-10-17 11:41:27
2
captain00030
CAPTAIN DRIVER💫 :
tshirt zake sasa tushavaa sanaa😅😅
2026-10-17 10:52:50
2
adrammdobbybrown
Adramm maridard :
😅
2026-10-17 05:45:06
2
rammychallii
Rammy✅️ :
2026-10-17 06:57:17
1
edveressie
EDDYTECHTZ :
ilogoma tulilicheza sana kipindi tupo secondary 🔥
2026-10-17 10:43:41
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About