Muumini sio yule aliewahi kuzini, ila huwenda akateleza, na ili kuthibitisha uumini wake ni kuleta toba ya kweli na kuomba msamaha kwa Allah
2026-10-17 08:03:17
4
༺RIFAH MODEST STYLE ༻ :
masha allah dad REYHAN may Allah protect you from evil eyes raha ya QUR AN huwa inaeleza ukweli na si kukandamizaa alhamdullilah to have sister in Iman like you 🥰
2026-10-16 21:06:41
3
💫sabo 10💦 :
Allah akujalia mwisho mwema kwa ukumbusho wako
2026-10-16 23:18:44
2
The Gold :
uzur wk we dada ndio unn fany naksikiliza kila wakat
2026-10-17 07:43:31
1
Ibni miqdaadi :
2026-10-17 03:31:13
2
mastermind :
hiyo ni app gani
2026-10-16 23:09:25
0
Hon. Game Changer :
Masha Allah jazakallah kheir
2026-10-17 01:14:49
1
@Feisal Dady :
Nipo na tablet kam iyo napataje kuw na nasahafu ya tafsir kam iyo
2026-10-16 23:24:08
0
Ş☆Daddyz :
Na Vpi kuhusu mu'umin ambaye si mzinifu?
2026-10-16 23:25:40
0
mohamed abdirashi78 :
mashallah
2026-10-17 08:00:03
0
Humble girl🐇💤 :
hyo app ni ya kulipia??
2026-10-17 06:05:23
0
@Bàyan🌺♥️ :
shukran kwa ukumbusho my sis❤️
2026-10-17 10:02:58
0
HANS 45 :
mashaallah allah atujaalie ujuz zaid tuweze kuijua zaid quran na kuisoam
2026-10-17 11:35:02
0
BATOURY ♥️ :
asantee
2026-10-17 08:06:18
0
amona junior :
2026-10-16 21:41:33
0
Ibni miqdaadi :
2026-10-17 03:31:20
1
Tindamanyire :
Maashaallah Jazaakillah Kheyr ukht
2026-10-17 07:57:27
0
Manyessa Wisdom show :
MASHAALLAH SHUKRAN, ALLAH AKULIPE KHERI INSHAALLAH
2026-10-17 05:34:26
0
Shedra Th :
mashaallah
2026-10-17 05:46:14
0
valparaiso :
shuqran kwa nasaha Allah atujaalie zaidi InshaAllah
2026-10-17 10:29:52
0
yung_m03 :
Allah akuzidishie noor kwenye kila jambo lako .. Na ajaaliye Quran iwe noor ya maisha yako na kwetu piah..Allahu barik
2026-10-17 06:18:11
0
fetymatter🦋 :
2026-10-17 06:40:29
0
ramso :
Jazakalah my sister Allah akuhifadhi
2026-10-17 12:18:00
0
Jumanne :
mashaallah
2026-10-16 21:55:07
0
To see more videos from user @majirani_wa_peponi, please go to the Tikwm
homepage.