Hababa nkuulize ww ndio wajua mume wangu apenda nn?😂😂 ama mwajua wanaume wote wapenda nn hebu tuacheni kila mwanamke ajua yeye anachokipenda mumewe mustupimie pumzi topic mwanaume mwanaume tu life doesnt rotate around men
2026-10-17 09:59:43
37
Mastu🌹 :
hao waume wapo wap
2026-10-17 04:42:02
11
khadijaahmed :
inaitwa pls call mel[Tears of joy]
2026-10-17 05:15:32
1
TEE :
Mxm
2026-10-17 10:45:21
3
. :
Kwaiyo watu walale na lipusticki😆waume nyinyi mtatuua😂😂😂
2026-10-17 14:14:21
3
Mama muu collection :
Na hao wanaume pia wafundisheni
2026-10-17 12:32:36
2
fidueternalflowers :
Wanaume hawapenda vicheko hivyo 😂😂😂 habari mnaayooo😂😂😂
2026-10-17 22:04:57
3
SOPHIE 🥀 :
Aaaaah hii kazi ni nyingi😂😂😂
2026-10-18 05:37:52
0
cherry blossom 🍒 :
🥰 my daa Zakia
2026-10-17 15:19:34
0
life of dida :
2026-10-17 02:19:19
1
bi.rahmaaa :
mpaka saa ngapi mambo yote haya[Tears of joy][Tears of joy]afanye watu walale[Laugh approved]
2026-10-17 11:52:43
5
user22740456390824 :
ماشاء اللہ
2026-10-19 08:09:29
0
toosy🧿 :
kazi ipo
2026-10-17 20:13:00
0
bekay :
2026-10-17 09:13:31
0
chachi_tumy17 :
mambo ya kikuba 👌
2026-10-17 10:06:00
0
Cardiac Poet :
Nakutizama kuleeee 😂🔥
2026-10-17 13:49:59
0
user6252339936028 :
mashaAllah 🥰
2026-10-17 03:41:38
0
Bint Ali 💕💕makame :
ushasema ,
2026-10-17 16:38:29
0
Aunty boss :
kikuba kizuri mashallah
2026-10-17 05:54:12
0
event__empress :
Weh
2026-10-17 05:36:21
0
salmaalifa16 :
2026-10-17 11:26:19
0
Thuma kinyezi :
wenyewe hawajui maana ukiwavalia
2026-10-18 18:06:55
1
Farwita ahmed :
Wanaume hawa wajisumbua tu hana habari navyo😂😂😂😂 pesa ya kikuba bora ununue Viazi ule
2026-10-17 18:37:51
0
Saada Mangi🥰 :
Huyo mume yuwafanya nini kuni-attract mimi😂😂😂yoooh my eyes also need some sights
2026-10-18 05:53:04
0
Coastal Queen :
wengine ata maana yakikuba hawakijui...ukivaa usivae shauri yako
2026-10-17 18:27:00
0
To see more videos from user @swahilipotfm91.7, please go to the Tikwm
homepage.