@emtvafrica: makamu wa rais: katika kipindi hiki cha kubadirisha mazingira kupitia mkuu wa wilaya,hizi tozo za kamata kamata tuwape mda wananchi, kila mmoja awe na ndoo yake au mfuko wake wakutupa tukifika kipindi fulani tunaanza zoezi la kamata kamata ila kwa sasa tutoe elimu #TanzaniaYangu
emtvafrica
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 07:00:00 GMT
Music
Download
Comments
Remi jacksoni lobert :
safi kiongozi wetu safi sana..
2026-10-17 16:07:59
1
suddyelite :
MH NDEJEMBI KWENYE ONE & TWO. KIONGOZ SAFI KABISA
2026-10-17 14:43:07
1
NKILA Tz🇹🇿 :
safi sana mhe makamu wa rais
2026-10-17 13:06:54
1
9876 :
safisana mheshimiwa
2026-10-17 11:48:39
0
VECA RASTA :
sahihi
2026-10-17 12:07:56
0
suley :
kwel
2026-10-17 17:33:16
0
Seki seki 46 :
hayo hawataki wanasikia raha kuwakimbizakimbiza watu!!!
2026-10-17 17:09:19
0
simba :
nakupenda sana mdogo wangu makamu wa rais
2026-10-17 17:13:38
0
jam jam :
upo sahihi
2026-10-17 16:11:02
0
winnie@1 :
safi kabisa
2026-10-17 13:59:30
0
fuadabdallah26 :
swadakta mkuu
2026-10-17 14:00:48
1
baba pietha :
huyu naona ndo raisi ivi au mmnasemaje
2026-10-17 16:49:59
0
Awadhi Kibwana :
ndivo kiomgozi anakua
2026-10-17 14:47:23
0
Mussa Elias :
tatizo viongozi unaowaambia hawafuati hayo kazi ni kuwakimbiza wananchi
2026-10-17 13:49:41
0
Frankmwananzumi :
binafsi Sina douth na wewe muheshimiwa mungu akubarik wewe na selkari yko kwaujumla
2026-10-17 15:03:05
0
Stella Emanuel :
Uko sahihi kabisa
2026-10-17 14:58:17
0
Shaffy Mabuyu :
kwani hao viongozi waliopita hawakujua namna ya kutumia njia hii kuweka usawa laia naviongozi
2026-10-17 14:45:05
0
THE MRUTUMuhidini yassini muhi :
kiukweli unajitaidi kwa asilimia 60,naomba wasikubadilishe
2026-10-17 14:43:49
0
Re :
Asante Mkuu
2026-10-17 13:09:39
0
abdalahmsangi111 :
safi sana njoo na kwenye wafanyabiashara wadogo wanateseka wamachinga wanapigwa marungu huko.barabarani
2026-10-17 13:00:02
0
Ulimboka Mwaipopo :
Jamaaa anaweza, anajua hali halisi elim kwanza onyo kamata.
2026-10-17 17:20:24
0
Waziri mkuu uakika elimu Kwanza 🙏
2026-10-17 13:19:39
0
Zacharia Laizer :
unafaa kua kiongoz
2026-10-17 13:42:05
0
j-1987 :
Asante Mhe..
2026-10-17 16:24:26
0
Vin dezel :
Hii ndio maana halisi ya shule mpeleke mtoto shule
2026-10-17 15:05:26
0
To see more videos from user @emtvafrica, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.