@uwanja_wa_hoja: #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #uwanjawahoja #waislamu #wakristo

UWANJA WA HOJA
UWANJA WA HOJA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 16 October 2026 22:16:05 GMT
28275
2001
148
241

Music

Download

Comments

joh32657
Joh :
Tumsifu Yesu Kristo
2026-10-17 10:17:31
46
mhina270
Mhina@ :
Jamani Mazinge yuko wapi?
2026-10-17 12:13:32
16
davidgathwe
daudi :
Hallelujah
2026-10-19 06:16:43
0
user4488378874333
Yakubu kb :
jaman m sjaelewa neno kukili anaejua anifafanulie plz
2026-10-17 18:41:57
2
user2541931849382
أبو الأقصم :
Huyu nani tena na anaongea kuhusu nn?
2026-10-16 22:59:17
2
vaydepretyvaydepr
vaydepretyvaydepr :
kila goti litapigwa nakila ulimi utakiri yesu kristo ndio ndiye bwana kwa utukufu wa mungu baba
2026-10-17 09:12:25
13
user9391560519378
Da@Mua hill's :
wakati Quran itafundishwa kwa lunga za Kila kabila ndio wengi watapata fahamu zao na wafanye maamuzi yaliyo Bora zaidi, Semeni nyote "Amen".
2026-10-17 14:17:39
12
user2311243908003
tmatrix :
Wanavurugana wenyewe, issue ni watu sasa wanatranslate kiarabu na izi social media ndio imekua issue. Kiukweli wakristo walisoma mapema sana na walijua kuna siku maswali yatakua mengi wakatupa uhuru waumi wao mapema sana moyo utakavyoweza bible, uliza maswali yoote. Sasa ndugu zetu wameanza kuvutana na maandiko yao wenyewe.
2026-10-17 14:23:44
4
user8302885521398
user8302885521398 :
kumeendelea kuchangamka siku kwa siku.
2026-10-17 12:20:27
8
kitawoneh
kitawoneh :
Na injili ya yesu itahubiriwa kote duniani
2026-10-18 04:38:48
4
denshyjoel
denshyjoel :
tumsifu yesu kristo
2026-10-18 08:21:47
5
sijui68
*Mwa'lawa# :
hapo ndipo. thanks!!!!🥰
2026-10-18 10:52:57
2
juliemsemakweli
juliemsemakweli :
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa 🙏
2026-10-17 12:58:48
4
user5342069539941
mama vanvin :
wakristo tujuane
2026-10-17 20:25:40
4
alexboscomdemu
EXISTENCE FOR PURPOSE :
I see
2026-10-17 11:26:29
2
peter.panteline
Peter Panteline :
kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni Bwana
2026-10-18 17:15:27
0
pascopimbili
P2 :
Yesu anakuja
2026-10-17 15:50:34
1
emmanuelgervas855
JIRANI :
utengano ni udhaifu
2026-10-17 09:34:19
2
jacqueline.marere
Jacqueline Marere :
na tunawatala kwa kweli🥰
2026-10-17 12:33:53
3
blaccangel22
angel :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Laugh approved][Laugh approved] mpaka wataelewa
2026-10-17 12:19:05
4
neymishy1
Neymishy1 :
ukwel usemwe
2026-10-17 09:21:29
3
barakashaibu117
Baraka Shaibu :
anachonifurahisha Allah anajua kiarabu tu hakuna lugha nyingne anajua
2026-10-18 04:16:42
3
mussa.nduwimana1musampa
Mussa Nduwimana :
Anaongea ukweli kabisa sheihk 😁🥰🥰🥰
2026-10-17 05:09:58
3
nyamwex_maverick
𝗧.𝗢.𝗗 :
jaman yani mambo ya dini ayawezi kuwa na makubaliano ya pamoja kila mtu aamini anachoamini bhan, kikubwa uishi kwenye mafundisho mema ya unakoamini, mashindano au mjadala wwte kati ya usilaumu na ukristo unaishiaga kwenye kutokuelwana na kuchukiana, kwhy. Maisha yaendeleee tu usilazimishe kila mtu aamini unachokiamini wewe🙌💪🙏
2026-10-17 10:30:47
3
davidnyingo805
Sir. Nyingo :
Nabii Elyasa kasema Mimi ni nani Nipinge
2026-10-17 14:52:02
3
To see more videos from user @uwanja_wa_hoja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About