@rixy_72: hiyo siku itakua taaruki yaan hapatatosha#first year 2026

rixy💸💦
rixy💸💦
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 00:31:58 GMT
16174
630
72
31

Music

Download

Comments

agathamanda0
@AgathaManda :
Yaaan , uje na school trunk arafu niache kuwa milladiayo never😂
2026-10-17 12:39:28
6
deejahprime006
mizel💋 :
eeeeeh naomba nisishikweeee ntambamiza mtu mpaka waghairi kunisajili😂😂
2026-10-17 12:00:28
11
ogechiroyale
____𝓸𝓰𝓮𝓬𝓱𝓲 🧚💦 :
ah mi apo kwnye bahasha ndo nimegoma kuwaskliz bahasha na beba na hamn ktu ntafanywa ,tusipokua makin haw continous watasem simu haziruhusiw chuo😅
2026-10-17 17:33:25
2
naahj45
Crazy baby😜🥰 :
utajikuta tu tiktok😁😁
2026-10-17 17:42:41
1
.kelly315
🇹🇿🪖🎖️ :
ugomvi wake atakaeuamulia ni polisi pekee🙌🙌
2026-10-17 07:50:29
4
yulsah
Yulsah🌹 :
Karibu Kairuki hamna mamb hayo kabisa🥰🤍
2026-10-17 09:00:22
2
kado.john8
African girl🌸 :
bora uwaambie maan wametuzoea
2026-10-17 09:57:35
2
user7549948702832
celine💓 :
nmekupenda wallahi chuo gani niwe kiungo mshambuliaji pemben yakoo😁
2026-10-17 13:15:58
1
vene_dfy
Vene_Dfy💎🌴 :
Naomba kukijua chuo chako nifanye maandaliz y camera
2026-10-17 18:09:09
0
agapekaaya801
agapekaaya801 :
uwezi jua unarekodiwa mda gani Yani ni video tyu tunaonaga yaniii duuuh nachoka me
2026-10-17 16:39:14
0
iamcooky2
i~am~cooky :
Kuwakumbusha😂
2026-10-17 13:58:16
0
user4195615602870
user4195615602870 :
we mm siwez jua ntafanyaje yani
2026-10-17 12:39:18
0
thereciousvedastinah
@tedy🌹 :
amjasema badoo
2026-10-17 13:40:52
0
dollarzpretty5
༄༅ ♛ 𝐌𝐬 𝐃𝐨𝐥𝐥𝐚𝐫𝐳 💸 ༄༅ :
Useme chuo gani 😂😂
2026-10-17 15:20:42
0
_its..gee
_its..gee :
mimi nita disco kabisa sikwambii san😁
2026-10-17 13:41:14
0
user91817209581945
jprmaxter :
mi nais ntafika nakufkuzwa kabisa
2026-10-17 18:30:25
0
ezus56
eZUS :
aghaa analeta dharau huyu nakurekodi na infinix kabisa😂🔥
2026-10-17 13:19:08
0
moredaxyne
Gen XY :
we beba baasha wasikupangiee buana watajua wenyew
2026-10-17 11:16:03
1
papaaa_785
A🔗NG🍻RY@🚬 :
kwanz inategemean na chuo unachoend [Big LOL]
2026-10-17 10:55:02
0
user9715853045199
msangi🌼🌼 :
wataacha ndala oleee wa nyumbu yeyote anirekodi
2026-10-17 07:44:42
0
mizah_5689
mizah🫠💞 :
tutakuuzia mpaka kimbweta hautaamini😂😂
2026-10-17 17:24:23
0
user5482220240978
@zuuh cute🥰 :
karibuuu mount meru hotel
2026-10-17 15:13:54
0
ebonyqueen113
Ebony_Queen :
Bahasha tunabeba na trank na godoro ikibidi😂 maisha kujiamulia
2026-10-17 17:18:45
0
mrsunker2irl
Till squid🥰🥰 :
ataniona upande wang wa pili kama hv👇👇👇👇
2026-10-17 14:28:19
0
komyajohn
komyajohn :
Wala hatuna muda na nyie mnajistukia tu
2026-10-17 14:18:17
1
To see more videos from user @rixy_72, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About