Tena bor ww wakala mkuu😂😂uwakal wa kawaid kila sik pesa inapotea af ujui iko wp
2026-10-17 15:45:20
33
yummy02 :
🤣yaani mimi usiku napiga hesabu milioni 1 nikija asubuhi nikipiga tena hisabu 990 elfu 10 imeenda wapi sijui 🤣🤣 nameza panadol mbili kwanza wewe unasema milioni hamna mm si mngenikuta ICU
2026-10-17 14:52:23
21
🍷𝔰𝔴𝔢𝔢𝔱𝔶🫀🥀 :
bora pesa izid kuliko kupungua uwii
2026-10-17 15:33:51
4
classic_da_b :
najazia ukiwa wakala lawama Kwa familia mana hatuna muda wa kitembelea watu ni bize tu😁😁😁😁😁
2026-10-17 13:34:55
13
Miss Angel :
Juzi tu nmetapeliwa laki 6 🥹 nataman niache ila ntafanya nin sasa
2026-10-17 12:46:40
7
Kinondoni gasstove supplies :
Juzi nimepata short ya 280k mpka leo sijaheel nasubir mteja ajichanganye tu 😭😂
2026-10-17 18:39:28
1
rukiabby0 :
mda huwo kipnz me ningelala hapo hapo tyu
2026-10-17 07:44:44
1
Gee Julia :
Mm huwa Stak stress zikipungua Leo Kesho zinazid Kesho kutwa zinakua Sawa😂😂😂😂😂
2026-10-17 18:45:10
1
Hamza sud :
nauliza hamna group hata la mawakal jaman
2026-10-17 20:53:46
1
jovi_th :
Na iyo saa nane hesabu bado hazija balance. Me kunamuda nahisi pressure nasema hii kazi itakuja kunitoa roho
2026-10-17 18:21:00
1
QUEEN BEAUTY CREAM ❤️❤️ :
mm nitaacha haswaaa hii biashara ya wakala
2026-10-17 15:10:57
2
SAMMYY :
yan nimechoka
2026-10-17 13:15:16
1
odo_ney💘 :
ila n hatar kpnz peke ako
2026-10-17 07:10:09
1
ziii😍😍 :
Alijakukuta my dr
2026-10-17 18:40:30
1
zaynabillity :
vp usalama wako my dear
2026-10-17 19:12:42
1
cute2026 :
Wacha tulinge kipenz kushika tu pesa peke yake inatosha kuringa👌😂😂😂
2026-10-17 18:52:41
2
khadija twin 👩❤️💋👩 :
hakuna dada yangu kazi yenye changamoto kama empesa allaah anilindie ww nakupenda sna
2026-10-17 18:37:50
1
🍷𝔰𝔴𝔢𝔢𝔱𝔶🫀🥀 :
hakuna kitu nisichokipenda kama mtu anakuja ety nikopeshe 100k sasa mie nitazungushia nini jmn kazi ya uwakala hatukopeshi uwiii
2026-10-17 15:32:52
9
marry beauty saloon :
yaaan nichangamoto kwakweli me napigaga hesabu mpaka kichwa kinauma sijui shida nini aisee