kwahy hii ipo Njia ya vianzi au vp maan dar sielew na natak kununuwa
2026-10-31 21:17:11
0
Salama :
vikindu ipo wapi
2026-10-28 07:23:14
0
Bettyjullu :
bdo vipo ?
2026-10-26 18:11:35
0
Mihambo Jr@ :
nahitajii
2026-10-19 19:38:24
0
maryam :
mhh yakwel ayo
2026-10-18 16:14:45
0
Deo Emanuel :
wapi hapo?
2026-10-19 10:35:22
0
drunkmaster65 :
Bado vipo
2026-10-19 14:10:39
0
Amina wa amina :
habari vipi kuhusu maji na umeme
2026-10-26 08:46:54
0
nuwayrat :
maan Kuna kiwanja nauzia wat w msktn kipo vianzi at sjui vianzi gan Kuna Shem Kuna maporomok nahisi Kam watu wanachimba mawe , na Kuna kijiw ch boda na naskia Kun sheli ss natak nijuw ni mbele au hv n nyuma , nifahmsh a
2026-10-31 21:18:37
0
Afro earrings :
dah! hii ipo poa sana 😳
2026-10-30 08:18:49
1
clisten# :
kutoka barabara ya.lami ni kilometres nqapi
2026-10-19 10:33:43
0
Saramore❤️ :
Tuma numbr yko umbal gan kutoka kisayan
2026-10-31 07:42:57
0
MAPESSA Matiku :
milioni moja ukubwa gani kaka
2026-10-18 15:34:49
0
khalfan property :
kiwanja kimoja ukubwa FT50×40 bei laki 6 vya nyuma vya mbele vilivyo gusa barabara laki 7 karibu kwa maitaji tupigie 0713 296282
2026-10-19 03:50:21
0
khalfan property :
poa boss karibu kwa maitaji tupigie 0713 296282
2026-10-30 17:07:25
0
To see more videos from user @khalfanproperty, please go to the Tikwm
homepage.