Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@novalursoo: #stevelacy #blowthisup #m
secret?
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 17 October 2026 04:24:41 GMT
370
35
4
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
Luseeluh2.0 :
2026-10-17 04:26:29
1
️ :
Mathias?
2026-10-17 04:33:43
0
🪖 :
2026-10-17 16:40:53
0
To see more videos from user @novalursoo, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#አካውንት 1000 77 19 52 8 99 #የስረ ገደል ፅዮን ቅድስት ማርያም #ስልክ //0925015684 //0935964895 #ኦርቶዶክስ⛪ተዋህዶ⛪ለዘለዓለም🙏ትኑር🙏
ben mi bağırıyom sen mi bağırıyon😂 #ailedizisi #asdev #serenaysarıkaya #kıvançtatlıtuğ #fypシ゚viral
vraiment modibou wakh na deug kii simple lol dara😭😂😂
Elon musk a genius #car #elonmusk #tesla #foryou @Tesla Thailand
🤰 MAMA MJAMZITO, UNAJUA NI SABABU ZIPI ZINAZOWEZA KUSABABISHA MTOTO KUFARIKI TUMBONI? 😢 Wajawazito wengi hudhani kwamba mtoto akiwa tumboni yuko salama kabisa mpaka siku ya kujifungua. Lakini kuna changamoto mbalimbali zinazoweza kuhatarisha maisha ya mtoto akiwa bado tumboni. Hizi ni baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia hali hiyo: 1. 🩸 Matatizo ya kondo la nyuma Kondo la nyuma ndilo linalompelekea mtoto oksijeni na virutubisho. Likishindwa kufanya kazi vizuri au likijitenga na ukuta wa kizazi kabla ya wakati, maisha ya mtoto yanaweza kuwa hatarini. 2. 🩺 Shinikizo la damu la ujauzito na pre-eclampsia Shinikizo la damu likiwa juu sana linaweza kuathiri mtiririko wa damu na virutubisho vinavyomfikia mtoto. 3. 🦠 Maambukizi wakati wa ujauzito Baadhi ya maambukizi yanaweza kumuathiri mama, mtoto au kondo la nyuma na kuongeza hatari ya matatizo makubwa. 4. 👶 Mtoto kutokua vizuri tumboni Mtoto anapokuwa hakui kwa kiwango kinachotarajiwa, anaweza kuwa katika hatari kubwa zaidi ya kupata matatizo. 5. 🪢 Matatizo ya kitovu Matatizo makubwa ya kitovu yanaweza kuathiri upatikanaji wa oksijeni kwa mtoto. 6. 🩸 Kisukari kisichodhibitiwa wakati wa ujauzito Kisukari kisipodhibitiwa vizuri kinaweza kuongeza hatari ya matatizo kwa mama na mtoto. 7. 🧬 Baadhi ya matatizo ya kijenetiki au ukuaji wa mtoto Baadhi ya matatizo ya ukuaji yanaweza kuathiri uwezo wa mtoto kuendelea kuishi tumboni. 8. 🤰 Mimba kuvuka muda wa kujifungua Ujauzito unapovuka wiki 41–42, hatari fulani huongezeka, hivyo ufuatiliaji na ushauri wa wahudumu wa afya ni muhimu. 9. 🚨 Kutopata huduma za kliniki kwa wakati Kukosa kliniki kunaweza kufanya matatizo kama shinikizo la damu, ukuaji duni wa mtoto au matatizo mengine yasigundulike mapema. ❤️ KUMBUKA: Si kila mtoto anayefariki tumboni hufa kwa sababu inayojulikana. Wakati mwingine sababu haiwezi kubainika hata baada ya uchunguzi. 📌 Mama mjamzito, ukihisi mtoto anacheza kwa kiwango kilichopungua au huchezi kama kawaida, tafuta huduma ya hospitali mara moja. Usisubiri hadi kesho. 💬 je unaswali lolote kuhusu ujauzito uliza 👉 Usisahau KUNIFOLLOW ili uendelee kupata elimu nyingine muhimu za afya. 📲 Follow, Like na Share nakala hii ili elimu iwafikie watu wengi zaidi. 🙏 Usisome peke yako—mshirikishe na mwingine! Dr mwasomola 0742039365
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy