@djdaphertz: TUMALIZE UTATA KATI YA MR T TOUCH VS S2kizzy Nani Kafanya Makubwaa #creatorsearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #foryoupage #kenyantiktok🇰🇪
s2kizzy kabeba na mastaa ila bado mdogo sana touch kajitafuta mwenyew ategemei staa
2026-10-17 06:48:58
223
francis :
mr touch anakirakitu kwenye tasnia
2026-10-17 05:56:45
180
KICHWADUNGU :
Mr t touch WAR MASHINE
2026-10-17 06:49:00
56
NURDEEN :
akuna producer anaemzid s2kizy kwenye industry kwa hits kama unabisha njoo na fact
2026-10-17 11:31:36
38
francischarles97 :
Take ✋🏻 now touch🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-17 07:02:38
25
MTU PORI :
s2kizzy anafanya kazi Hadi na wasanii wa nje mkumbuke 👍
2026-10-17 12:54:53
23
Dadiz Boe Tz :
Me Gen z bhnaa Es2kizzy😳
2026-10-17 07:46:45
18
mkandaj171323 :
ngoma za darasa zilitosha kumaliza hilo pambano
2026-10-17 07:28:11
38
Ram dady 🫡 :
izo Ngoma za s2kizzy nyingi Ayo Lizer ameusika
2026-10-17 07:41:16
54
@Poul⚽️ Peter🎮 :
me genz bhana s2kizzy nomaàa.
2026-10-17 13:19:36
3
bonymbilinyi :
acheni hzo mambo yaani t touch mnamshusha hadhi na watoto wachanga kiuwezo hao
2026-10-17 07:56:44
25
James Decoration :
T touch noma
2026-10-17 10:06:27
1
@@ :
s2kizzy to the world 🤴 👑 🦁
2026-10-17 07:08:58
3
Captain 19. :
acheni kumnyima S2kizzy maua yake, angalieni ngoma hizo zilivyokuwa hit kuliko za T touch though wote wako vizuri ila kwenye kutengeneza hits nyini ni Zombie
2026-10-17 07:35:30
13
Goodluck msuni msuni :
king parazo 🤴
2026-10-17 07:15:43
15
Umbeawainstagram :
Kwan maisha na muzik si ya touch ile ya darasa
2026-10-17 15:49:04
5
Hard_Code🧸 :
hiyo Ligi ndogo🤙
2026-10-17 07:46:44
17
kizer_DECOR✨ :
tofautisha kati ya mtu mwenye watu na mtu ambaye hana, s2 kizzy anawatu lakini bado ni mdogo Kwa touch
2026-10-17 13:08:35
10
NUMERO UNO :
s2kizzy sio the best kwa touch ...coz tch ni instrumental maker anapg kwa mkono ila s2kizzy anatumia paten.. hapgi kinanda ....
2026-10-17 10:24:49
6
Dismas Semindu :
acheni mambo yenu bhana kila mmoja mkali kwa wakati wake , touch ni legend aeshimiwe na kizzy ni kizazi kipya kiheshimiwe visikatishwe tamaa hivi vipaji
2026-10-17 08:10:05
7
isewamorgan👑👑 :
umekosea sanaa kuweka nyimbo za Rap kwa Touch bro😂😂😂😂
jamaa anakamiaga
2026-10-17 06:40:40
9
To see more videos from user @djdaphertz, please go to the Tikwm
homepage.