me nakumbuka mume wangu kwao kila siku wanitania kua ni mme wao wameniazima cku moja namm nkamfanyia amekuja mtoto wa mjomba wangu nkamwambia huyu ndo mpenz wangu wa zamani alinuna uyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-17 10:04:29
16
Am_zuu :
2026-10-17 07:00:52
10
MASOUd :
reality 😂
2026-10-17 14:53:28
0
Maysaam :
ndonin kunifanyia uchimvi wenu hadharani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 14:59:34
1
butterfly 🦋 :
hii nayo inachoma kama pasi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 06:33:48
12
Dr. Sultan :
Ajumiiiii[Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-17 08:48:36
0
@sulfat 01❤️ :
nilijua tu yatatokea[Laugh approved][Heartwarming][Laugh approved]
2026-10-17 11:33:09
0
CHOYO HUMUUMIZA MTU ROHO :
utaniiiii tuuuuuuuu 😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-17 06:28:22
16
Mr's A :
uchimvi[Tears of joy]
2026-10-17 07:39:15
0
sarak rashd :
nilijuwa tu hawezi kukaa kimya 😂😂
2026-10-17 06:54:36
12
Bi K Omy :
Nanukuu”Mtoto wa shangazi na mjomba hiyo kwiyo”😂😂
2026-10-17 08:11:14
9
OJ :
😁 kunamtu naangalia jiwe lilipo
2026-10-17 06:51:51
8
runaiyya🦋🦋 :
Kwakweli mume wangu hayo matan muyamalize uko uko nnje kwangu uje na heshma yako hee😂🤭
2026-10-17 07:41:53
5
Najma kamole :
Lkn mpemba ww mbona wapenda kumponda mkeo 😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-17 07:08:39
7
abdulfatah :
we dada unajuwa kuekt mashaallah,alf napend unavojistir, honger saaan
2026-10-17 08:08:26
9
sheyla🌸 :
me nainuka namfukuzaaa Yani hatoamini😂 utani uwe na mipaka