@kawanga18m: UTAFTAJI WA MAISHA UNA MITIHANI MINGI SANA LKN JAMAN TUSIWASAHAU WAZAZI WETU ATA KWA KIDOGO😭❤️🙏 Dua njema ya mzazi kwako haina pingamizi inakubalika Ewe Mungu wahifadhi wazazi wetu na uwape pepo wale walio tangulia❤️🙏 Je kwa kiasi cha pesa alicho tuma alistahili hiyo zawadi? KAMA UNAMZIGO WOWOTE UNATAKA KUUSAFIRISHA NA UPO DAR KWENDA MKOA WOWOTE AU DODOMA KWENDA MKOA WOWOTE WAONE HAWA @mr_wakala.transportation 0725200812

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 06:44:34 GMT
154354
10268
303
108

Music

Download

Comments

user283844804321
simba :
watoto wa kike ndio muhimu sana ,lakini midume inawaza kuhonga tu
2026-10-17 07:44:56
81
mussaqr7
mussa Qr :
mama alipata hofu kuhusu kijana wake
2026-10-17 08:35:49
16
chaam505
sunflower :
elf 4 ? elf 3?
2026-10-17 09:43:27
0
user5988838739813
Joyce mpini :
ila bodaboda mmh🥺🥺🥺 elf 3000 kweli
2026-10-17 10:52:44
0
berthaevol
berthaevol :
hiyohiyo 4000 yake,huoni mama yake kambariki kapata 50000? kutoa ni chochote haijarishi unacho kidogo.TUJIFUNZE
2026-10-17 08:29:01
43
hanifa.alphonce
Hanifa Alphonce :
wakike wasingefeli hata kidogo.mtoto wakike awezi kula bila mama kula
2026-10-17 10:37:24
28
shaluhnai
shaluhnai :
hongera,mm mdogo wang Ni bodaboda akiombwa pesa na mama yake yaan anakua mkali na mpk mama anakosa Amani daah🥹🥹🥹
2026-10-17 07:44:05
57
swaumukimu
2026 :
elfu 4 ndogo jamani mungu aendelee kutujaalia vijana tuwape wazazi wetu ela zaidi ya hiyo
2026-10-17 07:42:14
38
eva.lutha
Eva Lutha :
wanawaza kuhonga tu kuwapa wazazi aaah mtoto wa kike n Bora kuliko wa kiume
2026-10-17 10:08:05
10
samiraayra1
Samira Og :
Duuuh elfu 4000 au elfu 3000 akitoa jmn apo anapata nini jmn😳😳😳
2026-10-17 07:50:56
11
user9477127386125
vady boy :
mzazi wa kike ata 1000 ikit0ka kwa mt0t0 wa kiume anaxhukulu sana anajua mwanaume ela yake ina mamb0 mengi
2026-10-17 13:00:17
6
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
Asante wote mnao kumbuka wazazi
2026-10-17 08:36:23
22
preciousprecious452
Chakudeka@ :
👏👏👏👏👏makofi kwake
2026-10-17 11:41:32
0
othmanmwacha
othman :
mie nimejikuta nalia tuh hata sijui kwanini mara ya mwisho mama yangu aliranba elufu 3 na ilikuwa ni mwaka 2023
2026-10-17 10:20:32
5
joshualongida
Joshua Masai from Tanzania 👑 :
mama I love you ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-17 07:57:16
0
khdra.mamy
Khdra mamy :
hiyo 4000 ndo ilioleta baraka ya 40 allah mkubwa
2026-10-17 07:55:42
14
yusra.katanga6
yusra katanga :
afu 4 imemuokoa kijana daaah
2026-10-17 07:29:43
12
mjuuwababu3
MJUKUU WA BABU :
sijawai kutuma pesa kwa mama chini ya 25 na kwenda juu
2026-10-17 07:46:24
5
samiraayra1
Samira Og :
Lkn usimpe yote mpe 20 nyingine umtumie mamaake
2026-10-17 07:51:55
7
cutezay65
Cutezay :
hizi ndo challenge, bigup
2026-10-17 09:16:00
5
mpemba.og.nadhiru
maalim Nadhiru islamiccontent" :
nilijuwa malume 😂😂😂
2026-10-17 08:04:15
7
rachel_aman
rachel :
umetisha kijana mkumbuke mama ako
2026-10-17 07:03:04
8
silvanusnyangi
MR. Casio :
vijana turudishen fadhila kwa baba zetu pia
2026-10-17 07:27:06
8
user6278167220
Azmina bilaly :
umewafunza kitu apo Masha Allah mungu akuzidishie
2026-10-17 07:05:50
5
mosi.siani
MOSI Siani :
watot wakiume hasara san jamn daa mie siwez kukaa siku mbili bila kumtumia mama angu hela
2026-10-17 12:04:11
2
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About