awaelew thaman ya vitu wamesha changanyikiwa. kunamoja alinambia kuolewa ni utumwa🫢🤗🤗
2026-10-17 19:27:06
1
WAGWAN_DEH🇹🇿 :
na hao watoto wanao beba jina la baba,,, upendo wao 100% ni kwa mama
2026-10-17 19:23:15
1
Mtu pori :
Mimi kuowa hapana kwakweli
2026-10-17 16:40:00
3
Rian_10 :
ni wabinafsi saaanaaa
2026-10-17 14:48:41
2
HUSTLER :
family sio swafa la kibiashara😂
2026-10-17 08:09:59
3
patrick mpk :
2026-10-17 14:35:57
2
Godfrey Dismas :
nikwel
2026-10-17 12:59:15
1
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Actually hata hyo mtoto atakuja kumsaidia yeye zaidi kuliko baba yake... akamuulize mama yake Mond... mtoto ana faida kwa nani.. angalau habebi ubin wa mama.
Mbona naona ameongea kweli sisi wanamne ndio wanufaika wakubwa maana hata nguvu ya hiyo familia inaendeleza jina la mwanamme hebu tumsikilizie vizuri!!!
2026-10-17 16:44:14
0
Essa Julie :
ww ndo boga mwanetu😂😂😂
2026-10-17 15:01:49
0
iammoremade :
FUCK feminism
2026-10-17 14:49:40
1
Hamzafashion :
Asilimia 90 watoto faida kwa mama! Mfano tu mala ya mwisho sikumbuki mzee nimemtumia lini pesa ila mama jana tu nimemtumia pesa
2026-10-17 11:24:16
4
Awake :
sahihi kabisa.. yan watu hawaelew na shida inaanzia kwenye neno NDOA.watu wakiingia wanaanza kuuliza faida eti watapata faida gan. yan kwenye nature unauliza kuhusiana na faida.. bas hata wanyama nao wangeuliza wanafaidika na nn mana hata hao nao ni viumbe hai.. yan wanawake bana.