@tadhkier: HILI LITAKUHARIBIA AMALI ZAKO TAHADHARI SANA #Al-tadhkir #tiktoktanzania #tiktokkenya #tiktokviews #islamic_video

AL_TADHKIR
AL_TADHKIR
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 07:25:05 GMT
47486
6060
43
209

Music

Download

Comments

shikeliholaasafari
ShikeliHolaaSafari :
Sipingi hii lakini nafanya kwa raha za nafsi yangu kwa Mola wangu.... watu hawanikeri na mawazo yao
2026-10-17 14:21:14
3
hajijumanne73
hajijumanne73 :
huyu shee nae mmh
2026-10-17 19:23:45
0
raeightliston
Raeight Liston :
inamaana swala pia watu wangekua wana swali kujificha kuswali jamaa ni ria watu wana kua wana jionyesha wana swali
2026-10-17 09:23:24
10
myna77776
Mafly :
mimi natumia vidole vyote vya mikono 2 ni sawa au ni wakulia?
2026-10-17 14:39:35
6
its.najmah2
Najmah💫 :
m huwa natumia tu vidole vya mkono wa kulia
2026-10-17 14:09:49
3
sheila.sironga
Sheila Sironga :
vidole vya mkono ni sawa kabisa
2026-10-17 17:15:42
1
user8086221061492
user8086221061492 :
Sio kila kitu bidaa
2026-10-17 15:54:24
0
user1903983603223
da luu :
ni ukweli vo
2026-10-17 13:12:59
1
ashurakenya
Ashura🇰🇪🇹🇿 :
huwa natumia vidole vyangu huwa inanipa amani sana
2026-10-17 20:03:23
0
user6578701681091
Habibul ummah ❤️ :
kila mtu na Nia yake
2026-10-17 19:08:02
0
user7415308038730
user7415308038730 :
subanallaha
2026-10-17 07:28:32
1
zaitun9419
Zaitun ❤️‍🩹 :
subhanaallah
2026-10-17 18:53:45
0
madege.athumani
uthman madege :
waislam wengi wanafanya mambo kwa kujionyesha
2026-10-17 17:50:21
0
farajihashim419
faraji hashimu :
subuhanallah
2026-10-17 12:31:22
0
md.remmy
ℝ𝕖𝕙𝕞𝕪❤️🦋🫶 :
Subhanallah
2026-10-17 09:15:15
0
user8086221061492
user8086221061492 :
Wacheni mambo yalokua hayana faida
2026-10-17 15:54:50
0
user8086221061492
user8086221061492 :
Pamoja na wewe pia akusaidie
2026-10-17 15:55:03
0
user8086221061492
user8086221061492 :
Hatubishani
2026-10-17 15:54:11
0
user8086221061492
user8086221061492 :
Kwa hiyo wewe ndo unajua nia za watu au
2026-10-17 14:10:43
0
ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Lkn ukitumia tasbiih ya kidole unajua umefanya idadi ngapi za adhakaar na Allah ndie mjuzi kwani hufanyi kwa kuonesha watu
2026-10-17 15:09:37
0
rajab.kaingu
Rajab Kaingu :
🥰🥰🥰
2026-10-17 10:40:41
1
itsrukiya0
Arham's mom🌹 :
🥰🥰🥰
2026-10-17 14:45:15
0
afficualnasoro
NASOLO. HOTTE. FAMILI :
🥰🥰🥰
2026-10-17 15:38:41
0
.rama..d.official
Official Rama D :
🙏🙏🙏
2026-10-17 16:42:16
0
yuzzo605
yuzzo@ :
🥰🥰🥰
2026-10-17 09:15:32
0
To see more videos from user @tadhkier, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About