Mm ndiyo nimetoka kazini [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-18 15:09:37
0
irean🦋 :
achana na jumapili kuna ile nyerere day na tulienda kazini
2026-10-18 17:37:56
2
zx☠️💤 :
na kuna mm hadi mda huu natazam hii video jumapili nipo kazni[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-18 06:14:25
1
Kudra 🦋🥰🤪 :
apa nipo kazini babaa angu na nimetoka 🤣🤣
2026-10-18 09:34:42
7
Rose💕🌷 :
sio jpl tu had sikukuu christimas mwaka mpya paska iddi ndogo na kubwa sisi tupo hatuna kanisan wala msikitin
2026-10-17 08:16:47
30
abuu thamayra :
tumeowa
2026-10-18 08:07:16
0
𝑽𝒆𝒆_𝑴𝒓𝒆𝒎𝒂🦋 :
Kwahy madaktar wasiend jpil wagonjwa wafe au!?
2026-10-18 18:36:28
2
Manginana OG :
tunafanya usafi usiku jamn
2026-10-17 09:40:33
7
Benah patty🥰 :
yaani mimi na boss wangu kweli moto tutachomwa, maana kazini kwetu hakunaga jumapili, likizo wala sikuku yeyote sio ya kikristu wala islamic , jmn nachoka mm
2026-10-17 17:08:06
3
SPÀRROʻW SPIRO :
ka wewe😂
2026-10-17 18:20:09
1
kaaya child🧸 :
nishawaiwa kwenda kibaruwa kuchuma nyanya jumapili🥺 maisha bwana 🙌🙌
2026-10-18 17:03:28
0
Ida💞💞 :
toka hapa na utuache😁😁
2026-10-18 08:05:07
1
lizick 💗💞 :
Mimi ndo Sina Jumapili Wala sikukuu.
2026-10-17 09:56:15
2
binti ng'akuya :
Acha tu kaka angu😔
2026-10-17 13:15:23
2
ibrah :
tangu nianze kufanya kazi sijuagi tena kama kuna jumapili
2026-10-17 13:35:24
2
dayzan :
2026-10-17 07:44:23
2
SMALL U S A MAWOZO :
2026-10-17 09:15:27
1
naah kidevu💞 :
ila wee kaka 😂
2026-10-17 07:44:50
2
judy :
ngja niongezeee sautiii boss aniskiee
2026-10-17 12:17:07
1
tinah🥰 :
2026-10-17 07:46:23
1
dynavibes1 :
2026-10-17 07:48:04
1
Elizabeth Shirima :
Ni mmi hyo jmnii daah niunganishn kz nyingin wapendwaa
2026-10-17 10:57:34
1
kirua_girl :
sawa jombaa
2026-10-17 07:52:03
1
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm
homepage.