@mkakamweus2: Huyu siyo msanii Bali ni mfanyabiashara Niffer akiwa viwanja vya Posta kukutana na Watanzania Ili waelekee uwanja wa Ndege kumpokea Miss Jihan aliye Shinda taji la Miss Grand international. Niffer amepokelewa na watu wengi huku wakiimba jina lake, Niffer, Niffer, Niffer, Huu ni ukubwa ambao tumezoea kuuona Kwa akina Diamond ila Kwa Sasa tuna uona Kwa Niffer ambaye siyo msanii ni mfanyabiashara tu. #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
mkakamweusi2
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 08:10:00 GMT
Music
Download
Comments
Lilmbeclan @ffici@ :
kwan nifa n nani jaman mbna mm smjui
2026-10-17 09:19:38
22
reenkitia :
kila MTU anajua anatumia nguvu gani usiige maisha ya Mtu mmmhhh
2026-10-17 11:32:12
22
fetty :
My role model🥰🥰🥰🥰
2026-10-17 18:03:04
1
J :
nakwambia
2026-10-18 13:09:51
0
charity♥️📖⌚ :
Kibali na neema when Jesus say yes no one will take from you 🌸🥰
2026-10-17 09:38:40
2
jnfermwanse :
ana kibali na ndio maana unaambiwa kibali kukichukua ni nguvu zaidi ya Mungu tu
2026-10-17 09:10:04
22
JM 25 :
Anaweza kugombea urais shida ni sifa zitasumbua.
2026-10-17 18:40:51
4
penina :
niffer anakitu hakika watanzania tuamke tumshike mkono huyu dada kafanya tanzania kuheshimika🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💖💖💖💖💖💖
2026-10-17 15:49:05
4
Regina 🌹❤️❤️ :
kwel bora awe rais
2026-10-17 09:18:34
8
*ize tz# :
Nchi haiongozwi mtandaoni lakini wala urais hauhitaji michambo muwe mnaelewa na sifa za uongozi lkn
2026-10-17 19:05:24
4
saknery :
ata mimi nilikuwa nawza ivyo ivyo
2026-10-17 08:41:03
8
Baraka .💉💉🖊️ :
apo Kuna mambo Aya ✌️
2026-10-18 07:47:19
3
Amani kucha dodoma :
kueni na heshima bc urais hu waloongoza viongozi wengine au wamtandao
2026-10-18 07:22:15
1
Miss priscillar💕 :
Niffer n mmoja tyu🥰
2026-10-17 11:50:02
3
@kimusdaughter :
Mungu aendelee kukupa moyo huohuo wenye mapenzi mema kipenz na Mungu akuepushe na mahasidi 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-18 08:13:31
1
May Musa :
lilia nyota sy uzuri
2026-10-17 14:49:57
1
Nora nuhu🇹🇿💚🇴🇲 :
Nifa 🫡
2026-10-17 10:47:24
1
J :
Niffer amechaguliw kuw mtawala na wkt ukifik atakuw mtu mkubwa kweny hii nchi ana kibali kikubwa sana
2026-10-17 14:51:34
1
cardillac 999 :
agombee tu hana shida dada wa watu kipenzi cha watu mungu amlinde tu🥰🙏
2026-10-17 10:57:40
2
pimpingmatukutuku :
uraisi wa yanga au?
2026-10-17 10:07:51
1
Steven kibona :
ni mwenyezi mungu ndo anapanga yn akipita me naona ni vyema2
2026-10-17 13:46:54
0
resty💜 :
hata mm nampenda mtoto mpambanaji [Heartwarming]
2026-10-17 09:38:23
2
petertabitha :
Jaman jaman urais upi tena unahisi urais ni kulala na kuamka tu ndugu mwandishi
2026-10-17 10:46:03
2
IYRENE MALLEY :
Nifer mwanangu akulinde
2026-10-17 15:57:08
1
Ladymam :
jamani ananyota yake mjini 🥰🥰🥰
2026-10-17 11:07:06
1
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.