kaka ii imeniuma sana Dah naona nashinda nayo kichwani kwa siku ya leo
2026-10-17 11:08:35
43
moylen :
daaaaaah life is not fare for sure
2026-10-17 11:03:44
12
boby :
MUNGU awajalie mwisho mwema wote wa mtiiiio kwel
2026-10-18 06:32:46
5
konselkadi :
hii imenikumbusha mbali kuna siku nilikuwa ninaumwa sana malaria kali bs nimepanda mwendokasi nikapata siti wee kuna huyo mmama wacha anze kunisema kuwa nipishe siti wakubwa wakae.iliniuma sana nikasimama yani ata miguu haina nguvu dah😁
2026-10-18 07:31:16
6
de keang :
painfull
2026-10-18 06:53:00
1
divo :
daaah nimeumia
2026-10-17 19:48:01
3
Younus Maalifa :
imeniuma😭😭
2026-10-17 20:27:30
2
Kirhaliym@2 :
inaskitisha kweli😭😭💔
2026-10-17 18:27:38
2
the pusha :
mambo na respect
2026-10-17 19:31:23
1
scophed :
daah hii haijakaa saw
2026-10-17 20:54:43
1
Pôgbä 💥Msēlâ Msäfî💵🏴☠️ :
aisee uyo Mzee cjui ndan ya moyo wake alikuw anajckiaj
2026-10-17 21:29:46
1
shazla kb😘😘 :
mmmh kwa kweli🥰🥰
2026-10-17 08:41:28
1
RAYMOND COSTA YUSUFU :
daaaaah
2026-10-17 20:06:38
1
fake promise 🥹🥹 :
inauma
2026-10-17 09:32:08
1
Felich khan :
sahihi braza
2026-10-17 11:17:04
1
vunjabei5637 :
ndomana mimi nalalaga
2026-10-18 10:17:38
0
alex :
duuu ina umiza sanaaa
2026-10-18 07:23:30
2
Young darkspot :
ohh sorry about that 😞😞
2026-10-17 17:23:14
1
fresh boy :
aibu wanaon wao
2026-10-17 16:02:13
1
Mr Youngmoney :
Daah ina huzunisha kiukweli😭😭😭😭😭😭
2026-10-17 15:08:12
2
Miss ha🎀 :
mmh kwelii kabsa Kuna wat wanapend kujiamulia mamb
2026-10-17 20:05:39
2
To see more videos from user @shampahefx, please go to the Tikwm
homepage.