@litlemaster2: ‼️Mtandao wa 6G umesimama ndani ya Dimba la uhuru mnyama hashikiki msimu huu, Mashujaa wamepewa kipigo kitakatifu cha bao 6-1🙌, Simba SC inaendelea kuweka rekodi za kibabe kwani mpaka sasa ndio timu pekee ligikuu ambayo haijafungwa pia ndio timu pekee iliyofunga bao nyingi 🙌, Baaasi wapinzani wanaendelea kusonya tu😁. #DickiiSport #AfricanFootball #creatorsearchinsights #4klamineyamal