@bongofive: Wasanii wa muziki BerryBlack, HummerQ, Pasha na wasanii wengine walivyoimba mapema leo asubuhi kuelekea tamasha la miaka 30 ya BongoFleva Zanzibar Jumamosi huu Kendwa. Una maoni gani?
Bongofive
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 08:37:54 GMT
Music
Download
Comments
Brown NgoshaFood :
Shirko u murder the tin
2026-10-17 11:06:51
4
duller_tronics :
Pasha my favorite Artist🔥
2026-10-17 11:36:18
22
Ngamazaza_91 :
Hiii ndo bongo flangaaaa
2026-10-17 15:29:44
0
Kadiga Ali :
Berrywhite ndie aliekufa?
2026-10-17 14:18:09
0
Velmin :
blue anafeel
2026-10-17 15:42:45
0
Bob issa :
Miaka 30 ya bongo flave bila dullayooo😌😌😌
2026-10-17 11:12:26
15
💯âßdúlràhmàñ🇹🇿 :
Shirk berry black 🥰
2026-10-17 15:48:42
0
RISHARD BARBZ :
zanzibar ni noma kuliko zote🤣🤣🤣
2026-10-17 10:58:43
12
Roshaphia💕 :
Jmn naomb kuulizq kwa anayefahamu huyo Hammer q si ndie alikuwa mume wake wa zamani wa Zuhura kaoge wa kombolela au salha wa Machupa?
2026-10-17 13:28:19
4
MSINA_ZANZIBAR_ADVANTURE :
mbona bablee kizuzu hayupo
2026-10-17 11:42:17
4
Suleiman Kibela :
bado sjaona durayooo hapo hakuna hak
2026-10-17 13:37:33
3
Salim :
watafute mswala wakaswali
2026-10-17 15:36:26
1
Truck Life✌️ :
legend alwasy legend
2026-10-17 10:26:17
0
Mussa Mndolwa :
hivi ni Leo 17oct
2026-10-17 09:20:06
2
master plumbing :
jamani si mbaki yinyi ndio mnajua maana muziki hawa wa sasa wanapga tyuu kelele
2026-10-17 11:56:58
6
abbashamad :
berry black na shirko heshima kwenu
2026-10-17 15:11:36
1
deyraokwi :
Kuna wengine hatuwaji ila wakiimba tuu ndio tuwajuwa daah😂
2026-10-17 11:14:29
3
samix_media :
Shirko fundi sana
2026-10-17 10:49:46
4
King Joris :
sema shirko mnyamwez sana🔥🔥🔥
2026-10-17 10:12:13
6
𝑴𝑻𝑶𝑻𝑶 𝑾𝑨 𝑴𝑨𝑴𝑨 :
Alicom🔥
2026-10-17 11:53:27
1
number10💥 :
Atali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-10-17 12:02:15
1
clever9 :
izo nyimbo nyengine zinanikumbusha tokea tukienda disco tunapigwa mikwaju
2026-10-17 11:57:55
2
mom@sharon1 :
ally com mtaalam wa huba🥰
2026-10-17 12:06:08
1
John Wherever :
Shirko alikuwa mbele ya muda sana, anachana kama Sean paul 🔥🔥
2026-10-17 14:15:07
1
MELELE jr :
Ray C jamani. tumemiss kiuno bila mfúpa
30 ya bongo flavor ni 🔥🔥🔥🔥
2026-10-17 12:06:01
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.