dada mm pia naenda mwaka wa kwanz ila naogopa sana
2026-10-17 10:28:01
14
Agmishly :
dada me sjapat mkop lakn nkichek naon imeandik No active account found with the give credentiats Sas nifanyaj
2026-10-17 17:59:35
2
✨Pretty muuh :
aty kipenzi nikinnua bag langu kubwa watanicheka😅
2026-10-17 09:29:12
12
dreamer :
jmn mbn nakujua mlangarini umemaliza na sare gani
2026-10-17 08:53:15
7
Zulfa Hamisi :
yaan nimekuona kwa mara ya kwanza na nimekuelew dada..man na me first year
2026-10-21 16:57:47
3
goldenboy :
Hatuto tia hurum dada tutaisha kam ulivyotufundisha Inshaallah
2026-10-18 22:24:12
4
scalty :
dada angu asante sana me mdogo wako unanitia ujasiri sana maana huwa nakata tamaa maan maisha ya nyumbani magumu san
2026-10-20 05:35:35
2
Timonius Theodory :
upo SUA campus gani?
2026-10-17 20:32:46
2
vivacious girl 08❤️🩹🧕 :
yaan dada angu umeongea ukwel kbsaaa mungu akufanyie wepec kwenye maish yako uzidi kuwa mtu Bora milele na ufanikiwe ibaki kuwa historia♥️🫂
2026-10-17 17:46:34
4
Marzay :
Dada ubarikiwe MWENYEZ MUNGU akuzidishie mafanikio
2026-10-17 12:40:50
4
Innocent :
dada naenda sua nipe wazo lolote la biashara dada
2026-10-17 19:55:48
3
mbise's daughter👀 :
me nakupenda dada anguu nimejifunza meng kupitia ww Mungu azidi kukulinda kwa ajili ya sisi wadog zako🥰🥰
2026-10-17 16:26:30
2
Dr. Nico🧑⚕️🧑⚕️ :
I appreciate what you're doing 🫡🫡
2026-10-18 10:17:17
2
real ellah ❤️✨ :
my favourite sis 🥰🥰🥰🥰
2026-10-18 16:09:17
3
adalia :
dada naomba kukuuliza ivi mfano unaenda kuripoti chuo alafu sijafanya malipo yoyote kwasababu ata control namba sijapata je nikifika wanaweza kunipatia control namba nikalipia siku nyingine🤔🤔
2026-10-17 09:55:58
1
sir vivo :
nakupenda sana dada mungu akubariki kwa msaada wa mawazo kwa wadogo zako
2026-10-17 14:12:22
3
ebullient :
asante sana mwenyewe ndo naingia kesho
2026-10-22 09:27:11
1
lovessia :
barikiwa kpnz Chang ntaenda kukaza chuo
2026-10-17 10:35:04
3
applelove5955 :
Mmbo sorry ncheki DM
2026-10-22 15:02:06
0
COMMENT SECTION :
Dada mambo
2026-10-20 03:20:42
0
kundy lady :
nakupenda sana dada ang
2026-10-19 05:54:48
0
Last finest :
mm naogopa sana siku ya kuripot
2026-10-18 19:39:12
0
peacemind :
God bless sister
2026-10-18 11:36:55
0
🌺MR🌺love💯 :
dada angu nakupenda
2026-10-17 08:47:01
0
To see more videos from user @mirimollel, please go to the Tikwm
homepage.