@1mtafyatv: mafundi sasa wakiwa site 😂😂🙌#mtafyatv #mafundi #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzania🇹🇿 #viraotiktok

MTAFYA TV
MTAFYA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 08:47:35 GMT
59448
2564
54
116

Music

Download

Comments

allyallynad
🇹🇿CHAMPEX🇹🇿4✊. :
Boss Cement, wall put zinaisha 🤣 Wahi mala 1🤣🤣
2026-10-17 17:10:24
0
allydaddy80
my name is.. :
asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-10-17 13:43:52
0
user451734348113
patiii kimazi :
big up[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laughing][Laughing]
2026-10-17 11:24:44
1
infinity.upholste
INFINITY UPHOLSTERY :
😂😂😂😂😂😂 sasa nitasema nini mimi sasa sina la kusema
2026-10-17 13:04:16
3
souleyman8200
souleyman :
wa2 wanasubiria materials yameisha hapo😂😂😂
2026-10-17 16:06:58
1
aman.right6
Aman Right :
sio kwa uhuru huo Sasa weee
2026-10-17 16:58:35
2
gabrielhauleemmantiktok1
Gabriel haule :
Kuwatetea kazi kweli 🤣🤣🤣🤣
2026-10-17 16:12:16
1
ommy_welding
ommy_welding :
Utadhani matahila lakini wana familia zao na wanategemewa😅😅😂🤣
2026-10-17 15:39:16
1
mgirici
MGIRICI :
wanachezea Wall put kumbe
2026-10-17 11:01:23
1
yohana.emanuel.ye
yohana emanuel yeremia :
wazeee wa burudaniiiii
2026-10-17 17:29:55
0
kelvinmlowosa128
Kelvin Mlowosa :
huyu c fundi Shaban au
2026-10-17 18:03:29
0
lilian.kweka87
lilian kweka :
uwiiiii mwezi mmoja nyumba imebomoka
2026-10-17 18:53:57
0
bachutza
Aboubakar kinemo 💠 :
alafu wanakwambia boss Wallput imeisha kumbe wanamwaga 😂😂😂
2026-10-17 17:07:47
0
user5143592539611
vasco_0612730054 :
sas hiz what skiming zinavyo mwagwa
2026-10-17 17:07:08
0
big_ben_yo
Big_Ben Yo :
Afu badae wananambia chokaa imeisha 😂
2026-10-17 21:15:41
0
catherinemahu
caty dollars :
🤣jaman🤣
2026-10-17 10:59:24
0
ramadhanimvungi20
R M :
wakika ndokitu tunachopendaga ma engineers woteeeee
2026-10-17 17:10:36
0
cannally
cannally divu :
Wakiwa wana enjoy hivyo wana sahau maumivu hiyo kazi ni ngumu
2026-10-17 18:50:34
0
ibrahimkombe41
Ibrahim Kombe :
Baada ya mshahara kutoka🤣🤣
2026-10-17 16:33:37
0
morientoh
G7 :
nashindwa kuelewa material yangu yanavyoisha
2026-10-17 16:35:11
0
mr...a66
Mr...A... :
ukiachana na mafundu hii ngoma ina kautamu flani ivi lazima utikise kichwa
2026-10-17 21:38:55
0
_mkaliwenu6
💫༺༻𝔇è 𝔍𝔲𝔫𝔦𝔬𝔯༺༻♑️🐐 :
napenda san
2026-10-17 16:47:20
0
user9112618140161
Grace raph :
nawapenda sana jaman
2026-10-17 17:00:07
0
mr.j8573
Mr J :
shwaliii wanaa!!!!??
2026-10-17 16:40:22
0
ashrafshaban765
Ashraf kidula⚡ :
wanamwaga poda alafu badae mshua atanunua nyingine 😂😂
2026-10-17 19:04:36
0
To see more videos from user @1mtafyatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About