siku ile yamakam wa barabara walikuwa bize alivyoondoka tu wamelala
2026-10-18 10:59:35
1
Ally Sappy :
Aisee magufuli kaludi
2026-10-17 15:58:15
11
Tone skills :
mweshimiwa ana wafuasi wachache kushinda heche
2026-10-17 11:42:52
22
psalms_.51 :
Ila ma homeboy😂😂
2026-10-17 12:50:40
1
yusuph :
hatutaki maigizo TUNATAKA KATIBA MPYA
2026-10-17 14:39:05
7
Mzibiti :
UKIKUBALIKA MBEYA MPAKA MWENYEZI MUNGU ATAKUBARIKI PIA🙏🙏🙏🙏
2026-10-17 12:30:52
18
Kasimu Ramadhani :
MACHO YANGU YANAUONA MWANGAZA NDANI YA TAIFA LA TANZANIA, Mama SAMIA kawaamini vijana kwenye utawala wake natamani wote wangekuwa kama NDEJEMBE NA MAKONADA
2026-10-17 13:01:50
10
Mwana wa Mungu :
huyu makam anapia kazi ahsante Dr Samia raisi wetu
2026-10-17 12:34:09
10
user2095119852938 :
izo comedy tu
2026-10-17 17:53:36
1
BUPOKI BUPOKI :
hakuna kazi hapo
2026-10-17 18:04:27
0
CALL ME HONEYBADGE! :
imani inarudi kwa wananchi sema nyuma yke sasa wanamsupport
2026-10-17 20:07:48
3
Juta Nyanje :
piga kazi
2026-10-17 11:46:54
4
my name is.. :
kama traole mwendo wa 5
2026-10-17 13:59:26
3
AFRICAN GIANT BOY🌍 :
jamaa akiwa hivi mbona hata mimi nitamkubali 💯atutaki kiongozi anaechekacheka kwenye mambo ambayo anatakiwa kuwa na serious face.au wadau mnasemaje hapo???
2026-10-18 06:17:21
1
K̺͆i̺͆n̺͆g̺͆👑M̺͆s̺͆w̺͆a̺͆t̺͆ :
magufuli alituletea samia na samia katuletea huyo
2026-10-17 18:27:12
1
bashiru :
ila ccm kumbe wana watu bado
2026-10-17 15:59:42
2
fredy mwangalika :
ndo makamu ambae anavuto kwa wanaxhi nampenda bure
2026-10-17 16:56:26
2
Noor Mohamed :
sawa
2026-10-17 15:01:00
1
hdsh :
Kwan mda huo takukuru hawaoni
2026-10-17 17:21:40
1
194_cactus :
Ratiba kama hizi ni ngum sana dah aisee
2026-10-17 17:22:39
1
Thomas Sikumoja :
Wamedanganywa wakadanganyika na wanashangilia.
2026-10-17 19:43:27
1
Mansour Mabrouck :
kazi nzur sana makamo
2026-10-17 19:03:08
1
Berry 💞 :
BARABARA ndijembi
2026-10-17 14:20:45
1
JOPHREY ELECTRICAL SOLUTIONS :
kwani hao watu wa nchi gani ety pia hiyo ni move gani wakuu inatwaje
2026-10-17 19:00:48
1
To see more videos from user @knews24.media, please go to the Tikwm
homepage.