@iamlillys: Hii ni kama unaweza ku afford kumlipa mtu akusaidie,please do it.

LILIAN LEMA
LILIAN LEMA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 10:20:26 GMT
123485
8630
744
760

Music

Download

Comments

treasure2212
T.r.e.a.s.u.r.e💓 :
Finally I found my people, I hate kufua 😩😩😩
2026-10-17 12:49:13
1
snatchfitx
snatchfitx :
finally someone said it on my behalf😩
2026-10-17 11:49:37
94
nutellah_1
Daisy Ney :
I agree with you Lilian..but hold up hiyo ni chips yai na dagaa?😂
2026-10-17 16:03:52
1
fatumahussein963
@that woman😊❤️ :
This is me 😀😀😀😀 sipendi Kufua ,sipendi kupika,sipendi kazi yoyote 😀😀😀 kwa ufupi napenda kukaaa
2026-10-17 11:34:59
433
i_juliana_
I_JULIANA_ :
GBAMMMMMMMMMMESSSSSSSTTTTTTTTT📌🔥
2026-10-17 16:17:52
0
tinner3279
Tina :
Mimi sipendi kufua lakini sipendi kufuliwa yaan sipendi mtu ashike nguo zangu et anafua, bora ninunue tu washing machine
2026-10-17 11:41:39
169
niphas.page
Nipha's Page :
Bora ww hupendi kufua😂 Kuna mm Sina kazi ya nyumban ambayo naipenda 😁
2026-10-17 11:25:03
174
treyshan_
treyshan🇹🇿💕 :
Namsubiri mtu hapa aje kufua na kuosha vyombo nipo zangu namuangalia Jihan
2026-10-17 11:10:30
134
slay_by_fihams
Filsan960 :
kazi ya nyumban napenda ni kupika tuu basi
2026-10-17 11:44:25
12
miss_lylian
Miss Lylian :
me nae sitaki mtu nyumbani kwangu 😒😒😒 still deciding if i wanna get married coz the way naweka kitu nataka nikute hivyo hivyo.... chakula changu nataka nipike mwenyewe and i love my place too much to share it with anyone.... call me whatever you want I don't give a damn
2026-10-17 17:59:51
3
genzaunty
GenZ Aunty🥀 :
Hata Mimi kwakweli, I’m 100% lazy
2026-10-17 10:25:44
299
zainabu.silaji
Zainabu Silaji :
mimi sipendi kuosha vyombo uwiiii hiyo kazi siipendi jmn
2026-10-17 13:21:14
26
appiekars
Jeness :
Kuna mimi kila kitu nataka nifanye mwenyew mtu mwingne akinifanyia Naona ananiboa 😂😂😂
2026-10-17 12:33:54
96
aggieazalea5
aggieazalea :
yani lazima tugawane rizki jmn na wengine wale 😁🤌
2026-10-17 11:27:53
26
iddafashionpoint
Iddah Fashion Point🧕 :
Hatimaye nimepata ndugu
2026-10-17 10:52:31
15
sayder_14
Sayder🥀 :
Sipendi kazi
2026-10-17 12:48:16
5
9.7yy
Golden Y9 :
Kuteseka sio kufanikiwa 😂😂🙌afu wavivu ndo tuko smartest zaid 🙌😂
2026-10-17 11:22:41
24
arafa__0
ARAFA❤️ :
Now i can see my people 🙌😌
2026-10-17 11:22:30
3
witness.franco
wittie.🤍✝️ :
dada beatrice alisema ukibarikiwa wabariki na wengine🥰🙏
2026-10-17 10:58:48
45
dodomacosmetics
dodomacosmetics :
I’m 100% lazy yaan nalipa adi mtu wa kunikunjia nguo
2026-10-17 11:10:49
51
being_livia21
Olivia :
It’s important to know how to do every basic chore but it’s also important to not do them unless you absolutely have to!
2026-10-17 13:19:16
5
vonah_delyma
VeryVonah✨ :
Hayo ndo maisha sasa🔥😌
2026-10-17 10:56:07
6
sophygili3
Sophy :
Mm niko na mashine ila kufua hapana kwa kweli 😩😂
2026-10-17 11:25:52
11
___noone19
___Noone :
Mimi kila kazi siipendi hadi natamani ningekuwa wakiume nioe tu
2026-10-17 13:59:30
12
grace_opudo
Greyc Business👜 :
Why mimi napenda kazi za nyumbani na sipendi kusaidiwa?, I need justice😭
2026-10-17 11:41:56
14
To see more videos from user @iamlillys, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About