@zecozsnzibar: ZECO CALL CENTER 🔗 https://whatsapp.com/channel/002b78UImEFeXmDkKkyz1c9V Mteja wetu ni kipaumbele chetu! 🤝 Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linaendelea kuboresha mawasiliano na huduma kwa wateja wake. 📞 Una changamoto ya umeme? Piga simu kwenye namba yetu ya huduma za dharura: 024 216 2990 ili kuwasilisha tatizo lako. 📲 Unataka kupata taarifa zetu kwa haraka? Jiunge na WhatsApp Channel yetu kupitia kiungo hiki: 🔗 https://whatsapp.com/channel/002b78UImEFeXmDkKkyz1c9V ZECO tupo kwa ajili yako — tunakusikiliza na tunakuhudumia! ⚡❤️ #ZECOZanzibar #HudumaKwaWateja #Tun​akusikiliza #UmemeZanzibar #HudumaBora

ZECOZanzibar
ZECOZanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 10:25:26 GMT
21582
597
83
71

Music

Download

Comments

arkam.muhiddin
Arkam Plumber 🪠 service znz :
zeco hamfai
2026-10-17 17:32:59
0
abrahamiddi4
amy :
hmn llote
2026-10-17 19:29:21
0
mwadinikhamis265
Matawi :
Hata mpigiwe hampokei
2026-10-17 10:50:49
14
sumaleesuma2
suma :
congratulations 👏
2026-10-17 17:35:44
0
kamalezanzibar
Guide Fracophone :
Hamna mpango wowote kila siku mwakata umeme, mnatutia hasara tu kwenye biashara zetu na vifaa vyetu vinaungua ,bora mtu apate iyo solar [Perfect score]
2026-10-18 05:06:13
1
chillyk065
Chilly K :
Shahzad mmoja tu 🧑‍🦯🧑‍🦯🧑‍🦯Zeco oyeeee
2026-10-17 10:39:06
1
hala.grapher
HALA GRAPHER :
huku fuoni michezani kila siku umeme unazimwa kuanzia saa12 jioni mpaka saa6 usiku
2026-10-17 13:44:56
3
olokai.tz
OLOKAI WORLDWIDE🎒 :
Mimi mbona mmeni block au msumbufu 😂😂😂
2026-10-17 20:18:07
1
bahjatul_qalby0
its me🍒🦋 :
fuoni jitimai , kibondeni , uwandani , kituo cha polic , michenzani kiufupi fuoni yote hatuna bahati na Zeco
2026-10-17 19:22:26
1
ashajuma058
Asha mbarouk :
punguzeni kuzima umeme
2026-10-17 17:16:13
1
artetawazenji1
Arteta Wazenji :
Hivi zeco uku Chwaka tumewakosea nn
2026-10-17 15:53:03
0
hilalynass
znz-pbz-tz :
tumechoka na nyie hamna mabadiliko na hamtobadilika kama hamkufukuzwa na kuekwa wanao jua umuhimu wa umeme kiuchumi.
2026-10-17 15:08:07
1
user1733854612785
user1733854612785 :
sm gani mnataka maana mkipigiwa hampokei na mkipojea hakuna jipya
2026-10-17 13:15:31
0
jmk_2024
🌴 :
muwe na whatsapp number kwa ajili ya dharura mtu anaweza kukutumia location na hata video au picture kwanza
2026-10-18 06:14:02
0
nassirkassim49
Nassir magosso :
Namba nying izo punguzen wakuuu
2026-10-18 04:51:19
0
maimunaame595
maimunaame :
Tushachoka tenaa basi Kiwengwa kutuzimia ovyo
2026-10-17 12:07:38
0
karibunisanshop3879
myperfumes :
mmm
2026-10-17 20:39:49
0
hgsultan
HGsultan :
Kwanini huku michungwa mwili kila siku munazima usiku tu tunataka sababu maan sio kila siku 🥺🥺
2026-10-18 05:39:20
0
iamually3
Young Hustler💪💯 :
Bado sana huduma zenu mbovu
2026-10-17 20:14:44
0
amoopower7
amoopower7 :
musoona watu wakiwa na furaha kila siku muzime umeme km hatulipi
2026-10-17 20:22:24
0
thauratmohd
Thamha :
michungwa miwili maisha yetu haya ng'ari mnazidisha umasikini tu Kila siku sisi umeme mnatuzimia watoto Wana soma kwa tochi
2026-10-18 06:40:07
0
thauratmohd
Thamha :
mna tunyanyasa michungwa miwili umeme tuna nunua pia hamtupi Bure . muwe na ratiba sio Kila siku sisi hatuna umeme
2026-10-18 06:42:13
0
dawaa1238
dawaa123 :
sas zeco huk kwet pemba leo kun nn mbon tangia saa 12 mpak saiv hakun umem shid nn man hat hatun tangaz
2026-10-18 06:06:20
0
amoopower7
amoopower7 :
huna amani ya moyo kwa zeco
2026-10-17 20:22:42
0
najlishaz_1
Najlishaz :
mkishazima umeme cku mbili mfululizo hampokei cmu
2026-10-17 23:45:25
0
To see more videos from user @zecozsnzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About