mapenzi ya kweli pesa zitakuja badae [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-18 11:30:38
2
Mama Africa :
Nachagua Pesaaaaa,,,Mtu hana pesa Mahaba Hayanogi Na Huo ni UKWELI MCHUGU!
2026-10-17 14:55:06
8
us :
mm nachagua upendo pesa kupata maja liwa
2026-10-17 18:36:37
2
🌸~♡Ashmar~🦋🥰 :
Pesa hutafutwa na rizki hutoka kwa Allah. Unaweza kumpata tajiri akafilisika akakuacha au akakuletea maumivu kwa sababu ya utajiri wake. Lakini ukimpata mwenye upendo wa dhati, anayekuheshimu, kukuthamini na kusimama nawe katika shida na raha, hiyo ni neema kubwa san pesa zinaweza kununua nyumba nzuri, lkn haziwezi kununua amani ya moyo utajiri wa kweli si kuwa na mtu mwenye pesa nyingi, bali kuwa na mtu ambaye hata maisha yakibadilika upendo na heshima yake kwako havibadiliki kamw
2026-10-18 08:55:13
5
cute fida❤️🦋 :
pesa nyingiii tuu wallah😒
2026-10-17 20:37:33
0
🦋أختي هائلة🦋 :
Upendo ndo kilakitu pesa inatafutwa
2026-10-18 04:06:06
0
user667274551461 :
upendo
2026-10-17 14:33:58
3
Ammar Qassim :
Pesaa bhn hakuna mapenz saiv kun mtihani t
2026-10-17 20:15:31
1
Mohammed Suleiman :
utu ndio muhim kuliko k2
2026-10-18 03:51:10
1
Ruwaida :
anaenipenda hela tutafuta natutaziacha kila nafsi itaonja umaut 🥰🥰🥰🥰
2026-10-18 08:03:17
1
𝑀𝓇𝓈.𝒪.𝒦𝒽𝒶𝓃🥀💍♥️ :
Mtu anaenipenda kwa dhat pesa tutatafuta pamoja inshallah na Allah atatubariki tu kwa Uwezo wake na Rehma zake tutakapokua pamoja Rizk atoae ni Allah Muhimu nikua na mtu mwenye upendo wa dhat kila kitu kitakua vizur Biidhnillah 🥰😘♥️😘.
2026-10-17 18:39:50
2
زينب🌷🦋 :
Money 💴
2026-10-18 19:18:57
0
jomary :
nachagua upendo wa dhat
2026-10-17 19:36:20
1
🧑🦱_-_LA$7_-_BORN_-_🧑🦱 :
pesa siku hizi mapenzi yananunuliwa😔😔
2026-10-18 12:08:50
0
king_viro :
Aliyechagua upendo kaachwa kwasababu hana pesaa😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-10-19 09:29:36
0
sweet did :
s.aw
2026-10-18 16:31:31
0
Cut chioma ❤ ❤❤ :
Upendo peaa tutafut tukiwa pmoja
2026-10-17 16:26:27
0
med boy :
mtu
2026-10-18 16:17:10
0
Anfal :
my Man wangu Y🥰🥰
2026-10-19 16:07:10
0
🍒mai :
iyo haina mjadala me binafsi ningechagua pesa
2026-10-18 06:39:07
2
Dullachy :
upendo nibora ilaa pesa inanafasiyake katika kuboresha upendoo kua makini nauchaguzi wako
2026-10-18 20:18:20
1
FĀM SAVAGE✅ :
elaa baba upendoo waachiee wasabatoo
2026-10-19 10:26:17
0
Princess_ Imrana 🌷 :
mipesa kwakweli nisiwe mnafki 😂
2026-10-18 14:05:46
0
ismailkombo791 :
pesa
2026-10-18 09:34:23
0
mind your business 😏 :
sifikirii dunia ya saiv kama mapenzi yana nguvu kiasi icho. anyways mm nitachukua ambacho sina apo 🤣😂😂
2026-10-17 17:32:56
0
To see more videos from user @o.honey_quotes, please go to the Tikwm
homepage.