hakuna MTU anaeweza kunipangia kitu juu wa mke wangu ninahaki yakujua kilakitu kuhusu mke wangu
2026-10-17 16:48:36
6
Salma S.Abdalla :
hii 50m napewa mwenyewe au?mn yng inahakiwa kila sk
2026-10-17 15:12:50
6
Abuu Shafii :
kwanini anataka kujua kuhusu mali ninazomiliki
2026-10-18 02:30:50
1
Aisher❤️🦋 :
mbona adhabu ndogo
2026-10-17 19:58:52
0
AKE :
Basi mimi nitanyongwa kabisa🤣🤣🤣
2026-10-17 16:29:37
4
mudrakh4153 :
wasituchanganye wao wabaki na sheria zao
2026-10-18 08:39:35
0
jungleM :
Kwa Nini Sheria zote hizi zinamtetea sana mwanamke???
2026-10-17 18:10:57
0
Rachy🧚🏼♀️💖 :
Sema mama me sina amani 🥹💔🙌🏾
2026-10-18 07:09:46
0
EDIFONCE :
nyie wanasheria mbna siwaelew sheria gan izoo wakati sisi ni mwili mmoja aaaa,nachoka mimi jaman a.
2026-10-18 07:47:37
0
🌸بب مم🌸 :
acha tu nitumikie vyote kwa pamoja
2026-10-17 17:02:10
0
I.J#@maduru :
kama alikuwa na mahusiano mengine kamabula sijamuowa aendelee nayo sababu ni uhulu wake kama anamawasiliano ya kuhatalisha ndoa na familia na maisha yangu nisawa kwasababu ni uhulu wake hapo sheria ipo offside
2026-10-18 07:16:03
0
Trizakika Laizer :
mm nitaukumiwa kifungu cha maisha😂
2026-10-17 19:14:12
1
halimambwana958 :
safi
2026-10-18 07:46:26
0
Momy T ❤️ :
Niwekeeni lipa namba kabisa hapo
2026-10-17 13:52:35
1
mambuo20 :
mje mnikamate basi
2026-10-17 14:20:36
2
nathaniely ernest :
mke wakwangu
cm yakwangu
laini ya kwangu
anakaa kwangu
kosalangu nini apo kumhaki
l
2026-10-18 03:30:04
0
twin momB♡♡ :
daah mm maisha yangu itakuwaa. jela najiona kabisaa na fain mashamba ya baba nayaauza ili nmilipe fain uyu asiejitambua
2026-10-17 19:29:24
0
Jeska :
hii inachangia ndoaa nyingi kuvunjika sababu ya sim
2026-10-17 19:39:23
0
mbonye23 :
najiona kabxa naenda jela miaka saba
2026-10-18 07:55:36
1
Jaycee :
kwan uyu mwanasheria ameolewa ? nataka mke kama uyu
2026-10-18 08:49:50
0
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
HATA WANASHERIA WENYEWE WANAOGOPA NDOA
2026-10-17 19:41:49
0
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Wamekaa wakaweka na Milioni 50 kama faini.. Marriage is a scam....
2026-10-17 19:41:19
0
kinguluila8888 :
kama humwamini si umuache,wew kumuoa sio sababu ya kuondoa uhuru wake
2026-10-17 13:49:08
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.