@itscarlue: Wakati mwingine, tabia unayoiona kwa mtu inaweza kuwa matokeo ya maumivu aliyopitia, changamoto anazopambana nazo au mazingira aliyokulia. Usikimbilie kutoa hitimisho kwa kile unachokiona kwa nje, kwa sababu si kila tabasamu lina furaha, wala si kila ukimya una kiburi. Jifunze kuelewa kabla ya kuhukumu, kusikiliza kabla ya kuhitimisha na kuwa na huruma kabla ya kulaumu. Kumbuka, hujui vita ambavyo mtu anapigana navyo kimya kimya. ✍️ - 🎙| @elizabethmichaelofficial - Host: @bdozen Credits: @dozenselection - #itscarlue #foryoupağe #instagramreels

𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 11:44:08 GMT
22732
996
5
55

Music

Download

Comments

africansafari81
Africansafari :
Thank you Lulu ,always on the point ❤️❤️❤️
2026-10-17 22:17:45
0
drz12y
champ👟 :
Fact
2026-10-17 17:44:37
2
maryam.samweli
Maryam Samweli :
akili nyingiiii🥰🥰
2026-10-18 06:37:36
0
king_von2941
king_von :
[Innocent]
2026-10-17 15:42:00
1
mr_egghead77
Mr_egghead77 :
👏👏👏👏
2026-10-17 20:03:01
0
To see more videos from user @itscarlue, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About