@mj.mobile93: Note 60 pro Ukiwa na simu Kali kama hii huna haja ya kwenda hospitali kupima presha au heart rate au blood oxygen au kiwango cha stress unaweza kupima kwa kutumia Infinix note 60pro kwasababu inakuja na health monitoring technology na hii n kubwa kulikooo Ishi kismart. #note60pro #ishikismart #InfinxMobility #infinixthefutureisnow