@gastmedia: Wasiokuamini waongee, wewe jenga. WATAONA MWISHONI

GAST MEDIA TZ
GAST MEDIA TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 14:32:27 GMT
83267
1424
47
164

Music

Download

Comments

:
m niniko apo amekosea kidogo nilitumia 12M adi umeme kumaliza ilikost 15M
2026-10-18 15:13:40
6
:
Nyumba ya mwijaku alisema ni 1.4B
2026-11-03 07:34:52
2
:
plasta, cement nje 15pc, ndani 10pc😳 surely?
2026-11-21 08:17:43
1
:
jmn tofal 700 znatosha?
2026-10-19 11:45:41
0
:
sijaona gharama za umeme pia
2026-10-17 16:57:39
1
:
ungetuwekea na Raman ya nyumba na nyumba kamili ingependeza sana
2026-11-16 09:37:27
1
:
million 15 sawa
2026-10-19 13:39:35
2
:
kaka iyo Milioni 10 si kiwanja tyu
2026-10-19 18:52:08
1
:
Raman vyumb tano
2026-10-21 18:48:49
0
:
chumba kimoja seble jiko na choo nasubiri
2026-11-18 10:57:48
0
:
ufundia hapa bei gani
2026-10-19 18:31:30
0
:
fundi je
2026-10-26 01:11:31
0
:
vp vyumba 3
2026-10-27 21:08:56
0
:
ila ujenzi shikamoo
2026-10-17 16:54:29
0
:
Na sisi tunasema makadilio haya sio sahihi, kwanza bati 37 toa weka 60+ hadi 70, kwenye tofari toa 700, weka 1200+
2026-11-09 12:55:09
0
:
Ee Mungu naomba unikumbuke na mimi nijenge
2026-11-07 12:57:57
0
:
vyumba viwili bat 35 tu,
2026-10-30 20:29:08
0
:
Bati 😁😁😁😁
2026-11-11 08:45:30
0
:
Niwaite mje mnijengee najua hamtoboi🤣
2026-10-17 19:35:27
0
:
niweeke bajeti ya vyumba 3 ki moja kiwe self na seble na jiko la ndani inakuwa shigap
2026-10-22 10:42:48
0
:
mi nipo stage ya C sasa kichwa kinauma😳
2026-11-17 13:25:13
0
:
hapo hapo sijaona mlango wala dirisha
2026-10-17 16:54:01
0
:
Ujenz hapana jaman
2026-10-18 13:54:29
0
:
Nyumba ya Vyumba Viwili vya kulala, Sebule, Jiko na Choo itumie Bati 35 ? Acheni kuidanganya watu. Au Vyumba vina ukubwa wa Mita 2 ?
2026-10-17 19:06:59
2
:
ilaa ndugu hzo sument huwa 😳😳
2026-10-28 17:02:33
0
To see more videos from user @gastmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About