Kwa mfano kusingekua na mgawanyo wa mali kwenye ndoa basi kuna namna ndoa zisingekua zinavunjika ovyo ovyo
2026-10-17 22:35:42
18
Zuu0000 :
Mimi naomba sheria iangalie pia kuhusu uchakavu wa mke apewe mgao.
Mume kamuoa mke ziwa limesimama kamzalisha watoto wa 4/5 wamenyonya ziwa limelala ndio anampa talaka. Basi ampe mke mgao wa kutosha ili akakarabati na mwili wake. Msiangalie kuosha vyombo, kufagia..vipi kumpa unyumba mume usiku na mchana hadi mwili kuchakaa hii imekaaje wakili??
2026-10-18 05:23:19
8
Frank Bushiri :
itoshe kusema ndoa ni utapeli mkubwa haiwezekani nijwnge kwa jitiada zangu alafu aje mtoto wa mtu kuzimiliki
2026-10-18 15:14:17
3
Ahmed :
Tusomeni jmn tusitoee fatuwa kwa mambo tusiyoyajua
2026-10-18 09:46:06
0
Novath Lyaruu :
asante boss .. wakili dadali Chao umenyookaa Sana 🤝
2026-10-18 11:43:54
1
mis~phiner🌸 :
hyo ndoa iwe ya kanisa au hz za tamaduni?
2026-10-18 09:18:46
1
KING D :
asante sana hapo nimekuelewa maan nilipata pressure nilisha anza kuwaambia warudishe mahali yangu nimegairi kumuoa
:Dada upo vzr lkn nataka kujua mfano tulikuwa wachumba tu lkn ndani ya uchumba huo mimi nikajenga pasina mchango wake na yeye akajenga kwao na ushaidi upo na najua kabisa kajenga mwenyew kwa ajiri ya wazazi wake alafu tukaoana vip? kuhusu izo mali......
2026-10-18 11:02:56
0
annuu :
hii haijakaa sawa hii so haki
2026-10-18 04:16:06
0
Omary Hussen :
what if mwanaume ukaenda kuishi nyumba ya mwanamke na ukawa responsible as a father je iyo nyumba ni ya familia au ya mwanamke
2026-10-18 09:23:20
0
Ablafatma :
sheria hii inazungumzia ndoa ipi kwasababu waislam wanasheria zao
2026-10-18 12:35:57
0
kiparamauz :
Wana waza Mali muda wote na hatuoi ma nina!
2026-10-18 04:49:46
0
Master plan :
vipi kuhusu mwanaume alieoa mwanamke mwenye nyumba ,na wakaishi miaka zaidi ya kumi ,kumbuka mwanaume hadeki nyumba
2026-10-18 11:49:25
0
MŘ Îşmæl³9📿 :
yeye apeleke kwao vya muhimu alafu aje kudai kwangu na bado na kwao nasaidia pia hahaha tupeni basi sheria ya kuoa kwa mkataba basi km Tz inaruhusu azae tu kisha mtoto akikua aondoke
2026-10-18 15:17:56
0
Mtanzani halisi :
Habari mm naomba kuuliza kuhusu mali za urithi labda kuna nyumba ikauzwa watoto mko 5 lkn mmoja kafa kaacha watoto na nyie mmebaki 4 mgao inakuaje kuhusu mgao
2026-10-18 07:53:06
0
user2280219149638 :
du Kila mtu tu ajenge ya kwakweli na andike jina lake
2026-10-18 06:50:22
0
qweenofthejungle 👌🔨👊 :
Kwakweli sidhani kama vijana wataowa saivi 😂😂😂😂
2026-10-18 07:16:46
0
brisket Kidari :
vp tedy akijenga nyumba halafu ukihamia itakuwa yetu pia
2026-10-18 08:48:01
0
Mtu makini :
unaongea vizuri
Asante nimeelewa
2026-10-17 23:08:55
1
Frowin Sanga :
yaani hati miliki ya nyumba yangu itaandikwa jina la mzazi wangu kwisha kama hakimiii
2026-10-18 03:58:06
4
ernelixy :
hapa cha msingi, hakuna kuoa, na kama ukioa mnaenda kupanga nyumba, ,iyo ya familia itajengwa na wote.
2026-10-18 09:26:49
0
To see more videos from user @ms_mwanjala, please go to the Tikwm
homepage.