@shamsaford01: Mungu wetu ni mwenye huruma usichoke kumuomba🥹 Alhamdulilah Mungu umenipa familia nzuri🥹❤️❤️ #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

Shamsaford01
Shamsaford01
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 15:37:19 GMT
41305
3835
540
124

Music

Download

Comments

joycemlolele463
joycemlolele463 :
♥️Good blessing you honey! thank you 🙏
2026-10-18 17:28:03
0
salimaah.salimesh7
One ♥️💖💝🌺💕 :
Asantee mamaah 🥹🙏🙏
2026-10-18 11:25:40
0
halima.rajabo
Halima Rajabo :
amin amin
2026-10-18 13:17:48
0
arafarobert
[email protected] :
asant kwauxhauli amen
2026-10-18 14:49:05
0
esha_official88
Esha_official88 :
Yani Dada naona posti yako nikiwa kwenye Hali ngumu Mpaka nikajiuliza alijuaje kama Kuna mtu yupo na Hali hii Asante nimepata faraja kama Kuna kazii Dada yangu naomba nisaidie biashara zangu zimegoma Dada Asante mungu kwa ajili yako
2026-10-17 16:41:32
29
user8077182543457
user8077182543457 :
amina. amina. anina
2026-10-17 20:26:41
0
brenda50785
Brenda ❤️ :
Exactly
2026-10-18 22:58:29
0
luiza.swago
Luiza Swago :
Jamn tuamini Mungu yupo, huyu dada anaongea ukweli kabisa, Dada nakupenda barikiwa mnoo, mm nilihic kushindwa lakini kwa maombi haki ananiinua tena na tena
2026-10-18 18:31:51
2
user2461343819223
Tipher mkwere :
XHAMSA ASANTE LEO HY NI PWENTI🥰🥰🥰🥰
2026-10-19 08:42:48
1
irenesultan733
Irene :
umenigusa nimelia sanaa nashukuru kwa ujumbe wako🙏
2026-10-19 05:06:00
2
rashsimba
kidot :
Amin Amin kipenz🙏🙏🥰
2026-10-19 12:14:48
0
mwajumamtambo675
Mwajuma Mtambo :
ni kweli ulio sema
2026-10-18 04:26:18
1
user67134095438698
mamy kauthar👸⚘️❤️❤️ :
Amiiin Amiiin🤲🤲🤲Amiiin Amiii😭😭😭Amiiin Amiiin
2026-10-17 21:24:23
3
fatuma.burushi
Fatuma Burushi :
nimependa Sana ushauri wako asante kwakututia moyo nakupenda Sana dada
2026-10-19 12:39:17
0
pretty.zuu957
Pretty Zuu :
Asante dada
2026-10-19 12:01:05
0
omarabdlurasu
king_omar :
Tangu nikujue leo ndio umeongea ukweli
2026-10-18 10:58:23
2
maryam.aysh2
Maryam aysh :
Inallah maswabirina
2026-10-17 19:53:55
1
luiza.swago
Luiza Swago :
Dadaa mimi naamin, nilikata tamaa lakini nilipo mrudia Mungu kwa maombi na kuacha visivyo mpendeza alooo [Tears of joy][Tears of joy]Mwachen mungu aitwe mungu
2026-10-18 18:27:56
1
abdulrazaqbakari71
tu we nanai :
Twakupenda pia dada angu tunamshukuru sn kwaushauri wk inshallah mungu atakulipa kwakupoteza mda wako kwadakika kadhaa kutupaushari wamaisha dada
2026-10-18 14:12:57
1
zuwena.athuman6
Zuwena Athuman :
kweli kabisa asant kwa ushaur mzur namuomba mwenyez mungu anijaalie hitaji la moyo wangu na anijaalie umri mrefu nilee watoto wangu🙏
2026-10-17 18:04:23
1
user9961274506306
Fatma💓💓💞 :
amina
2026-10-19 12:41:06
0
user7490270681727
jamilah :
asantee dada ubarikiwe sanaa
2026-10-19 12:20:09
0
princess.zuuh606
Princess Zuuh💞💞💞 :
asante kipenzi kwakunitia moyo
2026-10-19 12:00:47
0
careen.cute07
careen cute 😍 :
kamwene dada
2026-10-19 11:40:10
0
semeni.ikramu
Semeni Ikramu :
nikweli kipenzi mungu akubariki sana.🙏
2026-10-19 12:33:13
0
To see more videos from user @shamsaford01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About