mm sio kumloga naamka na sunna za usiku ndo atajuwa mungu zaidi ya mgangaaa
2026-10-18 07:07:15
3
gee :
my situation
2026-10-17 19:15:44
1
Junior 4 :
Miaka saba au kumi kwenye haram na hata wazazi Wajua ilo eeeh innalilahi wainailahi rajiun roga ikiwa unajua hakii na muongozo wa dini inamaana hata wazazi wake hawa elimu ya dini.. nikosa kubwa ilo wote wako nayakujibu mbele za Allah hakuna kurogana hapo wazazi pia wako na makosa
2026-10-19 09:45:26
1
Loveness Mapenzi :
mmmmmh snaneno 🥺🥺
2026-10-17 20:04:57
1
Latifa :
waambie kaka 😂😂
2026-10-18 02:49:30
1
Tcute🥰❣️ :
yan kaka inauma balaaa
2026-10-17 22:06:58
2
ms_G🧚♂️🧚♂️ :
acha tu nilikaa nikazaa watoto wawil akaniambia mm sio taip yake alikurukuka na anaijutia siku alio kutana na mm
2026-10-17 20:02:15
3
LULUGLOW PRODUCTS WORLD WIDE :
Malipo ayachelewi
2026-10-17 22:00:51
2
TEE Ake🦋💕 :
Hali angu ya sasa😭
2026-10-18 00:41:38
1
muzayyaf sultan :
sahihi 😎
2026-10-17 18:18:53
2
Vannesa hope12 :
Watajuta one day
2026-10-17 21:43:04
1
QutePee :
my situation
2026-10-17 19:26:52
1
Jacqueline :
Aliniachia na watoto 3 eti nimekuwa scrapper namshukuru Mungu Nina furaha yangu yeye anahaha tuu 😁
2026-10-18 08:23:51
1
shadia_mstapha :
Inauma
2026-10-17 19:28:18
1
reth :
mm miaka 11 jaman leo hii kaowa jaman nina maumivu makali
2026-10-18 08:28:27
1
rozimerry :
kaka angu uishi miaka buku🥰🥰
2026-10-18 16:43:10
1
God's Mercy🇺🇸❤️ :
Watalipwa Sawa Sawa namatendo yake
2026-10-18 05:35:14
1
SMART RºøƁŶ🇹🇿 :
kwaiyo mwanetu maogomvi
aya ishi tufanyaje. au tuuwane
ndani.
2026-10-18 06:08:16
1
blessed girl 😘 :
Mim kimenikuta ila cmlogo namuachia Mungu tu
2026-10-18 12:17:04
1
itz_. dat.gal :
jmn jmn jmn jmn au bc MUNGU Kwa hili utanijibia wewe
2026-10-18 06:34:54
1
hajraah :
yani bila kurogwa mungu anaona na malipo hayachelewi
2026-10-17 20:06:58
2
Lady Magy :
bado tu cjapata mganga mzur jmn mwenye anamjua mganga wa uhakika bas