@islamicswahilinet: MUUJIZA WA ISTIGHFAR (KISA CHA IMAM AHMAD IBN HANBAL NA MUOKA MIKATE Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 15:41:41 GMT
20077
3310
47
154

Music

Download

Comments

kiongowakiongo.ki
#Kiongowakiongo Kiongo :
ASANTE SHEIKH VERY NICE NARRATIVE. YOU MADE ME shed tears!
2026-10-18 08:45:50
0
subiramussa40
RiseWithHer🌸 :
Nimetetemeka ichi kisa kizur Mashallah [Heartwarming]
2026-10-18 06:16:14
2
m.a.sea.food
M.A SEA FOOD :
subhuanna Allah wabihamd
2026-10-17 16:33:12
7
ssan.hassani
🤲😭🤲😭 :
Allha Akbar.
2026-10-18 10:24:04
0
allahuakbaru90
Mrs Nse❤️ :
Takbiriiii
2026-10-18 07:11:19
0
suleiman1526
Suleiman :
Nimetetemeka na hiki kisa wallah
2026-10-18 09:01:32
0
abuubakar.maganga0
Abuubakar ibn Mahmoud :
mashaallah
2026-10-18 10:15:40
0
jinguhaojue
JINGU HAOJUE :
The power of istghfar Astaghfurallah [Perfect score]
2026-10-17 18:29:38
1
halima.nuno1
Halima Nuno :
@allhuakbar amiiiiiiiiiiiiiiiiiiin shukran shekh❤️💜❤️💜❤️💜❤️💜❤️💜
2026-10-18 04:13:53
1
de_gunnerz
** Lattif ** :
SUBHANAALLAH
2026-10-17 17:39:22
1
munaa95501
munaa :
Astaghfirullah...
2026-10-18 05:45:31
0
user8226008185167
Kudrack :
Mashallah
2026-10-18 04:36:41
0
msauzikisilani
msauzikisilani :
Astaghirullah
2026-10-18 04:38:18
0
somoe_henna
somoe :
Allah Akbar
2026-10-18 06:16:49
0
alxamdulilah61
cimraan axmed moha... :
2026-10-18 05:42:22
0
mwarabu.one
mwarabu one :
2026-10-18 04:00:27
0
mwarabu.one
mwarabu one :
2026-10-18 04:00:09
0
mrs.miwan
mrs miwan :
Allah akbar
2026-10-17 20:13:25
0
shaabanibahri4
user5394454836581 :
jazzakallahu khair shkh nurdiin
2026-10-17 19:41:09
0
ummnahiri
ummnahiri :
Allah Akbar
2026-10-18 11:02:28
0
hd69906
saliwa🥰🥰HD :
Allah akbar
2026-10-17 20:17:29
0
arkham9779
arkham :
Takbiiiiirr
2026-10-17 19:44:17
0
user5075378271163
user5075378271163 :
yaaa allah tujaalie mwsho mwema inshaallah
2026-10-17 20:23:32
0
eejumasaidi
isaac Djuma disconnecte :
Allah akbar
2026-10-17 16:37:02
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About