@zouiurembo: ✨ HOLDER POCHI ZIPO DUKANI! ✨ Unatafuta sehemu nzuri ya kuhifadhia vitu vyako vidogo? Hizi holder pochi ni chaguo sahihi kabisa! 😍 ✅ Zinahifadhia pesa 💵 ✅ Unaweza kuweka ear pods 🎧 ✅ Zinatumika pia kuhifadhia funguo 🔑 ✅ Rahisi kubeba na kutumia kila siku. 💰 BEI ZA JUMLA - Jumla: Tsh 3,500 kuanzia pcs 6 - Dozen 12 pcs: Tsh 42,000 📍 Location: Kariakoo, mtaa wa Kongo na Uhuru, karibu na kituo cha daladala Congo. 📲 Namba ya Order: 0650611801 Wahi kuagiza kwa matumizi yako binafsi au kwa ajili ya biashara. Tunafanya delivery Dar es Salaam na tunatuma mikoa yote Tanzania pamoja na nchi jirani!

Zoui Urembo
Zoui Urembo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 October 2026 15:45:00 GMT
623
18
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @zouiurembo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About